Mfahamu aliyechora ramani ya dunia

Vitu vingine daah vigumu sana maana vina maswali mengi ya kujiuliza.
 
Nikiwasoma watu kama hawa nashindwa kuelewa mchango wangu katika dunia. Najiona kama mbinafsi,nisiye na mchango wowote ikitokea leo sipo wakuu.
 
Mwaka 1500 ni jana tu
Wapo waliochora ramani ambapo hata Google Earth wanatumia mfumo huo
Alizaliwa Alexandria Egypt
Wazungu wameiga vitu vingi sana
Ila kidogo Wagiriki nawakubali kwa uvumbuzi
Wengine ni copy and paste tu


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Story mbona haifanani kabisa na maelezo kuwa Mercator ndiye kachora ramani ya dunia?
muwe mnatuwekea link tukatafute hukohuko
lk kutafsiri kuwa fulani ni mgunduzi wakati search engine zinaonesha alianzisha Map Projection ambayo ni mistari ya contour Latitude na longtude kuwa katika mzunguko utakao kutana na kufanya dunia kuwa km cylinder Map projection - Wikipedia

bado km heading ni kumfahamu aliyeichora Ramani ya Dunia si mtu mmoja na ndege zilitumika
 
Nikiwasoma watu kama hawa nashindwa kuelewa mchango wangu katika dunia. Najiona kama mbinafsi,nisiye na mchango wowote ikitokea leo sipo wakuu.
ugunduzi kwa waafrika mfano unakuwa mdogo kwa sababu sisi mahitaji yetu makubwa tunayoamini tukiyapata yanatosha ni chakula,malazi na mavazi tukishavipata hivyo akili zetu haziendi zaidi ya hapo .WENZETU WANAENDA BEYOND HAYO MATATU ndio maana akili zinapanuka zaidi na kugundua vitu.WAAFRIKA UBONGO WETU TUNAUTUMIA ASILIMIA MOJA TU YA UWEZO WAKE HALISI,Nhiyo asilimia moja tunaitumia kukariri vitabu vya wazungu mashuleni na vyuoni
 
Huenda maneno yako yakawa na harufu fulani ya ukweli

Ila si sahihi ikiwa unamaanisha moja kwa moja



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna swali halijibiwi je aliechora alikuwa amekaa wapi? Maana Ni mpaka uwe juu kama satellite vinginevyo ukiwa BAHARINI kwenye meli mfano huwezi kutambua Yale makona makubwa mfano ya west Africa au ile ncha ya Somalia huwezi kuijua kabisa kwamba hapa Niko nchani maana landmass ni kubwa na bahari ni kubwa nawewe macho yako yakijitahidi Sana yanaona km 5 Sasa aliechora alikaa wapi?
 
Sawa ila mimi naomba uniambie nani aliyeita hii sayari Dunia/Earth
Allah ndani ya Qur'an.

"Ardh" Waingereza waka "modify" Hilo jina na kuiita "Earth" kama kawaida yao ya kubadili majina na kuyafanya yaonekane ni yao.
 
Ramani ilichorwa kutokana na simulizi za mabaharia na watu wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…