Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,840
- 7,920
Rais bila ulinz??? Labda unamaanisha rais wa manzesewatu walikua wanampenda sera zake zilikua nzuri kule wenzetu heshima ni umeifanyia nini nchi sio kujinufaisha ndio mana unakuta rais anatembea mtaani hana hata walinzi kwasababu watu wanampenda na unaweza kumchallange kwa hoja mkaongea
HahaaaRais bila ulinz??? Labda unamaanisha rais wa manzese
ulinzi anao ila sio wa mbwembwe kama kwetu huku hata nyumba yake anakaa mtaani tu kama upanga pale na wananchi wengine na kwake panajulikanaRais bila ulinz??? Labda unamaanisha rais wa manzese
Hahahaaa au wa Bahiroad shimo la ndiziRais bila ulinz??? Labda unamaanisha rais wa manzese