Mfahamu Baharia wa meli, Idara za meli na nafasi za mabaharia katika meli

Na je kiongozi vp kuhusu kupata seatime kwa hapa bongo hususani dar es salaam?
 
Umenikumbusha nahodha na mainjinia wa TITANIC walikufa na meli kutimiza wajibu wao
 
Na je kiongozi vp kuhusu kupata seatime kwa hapa bongo hususani dar es salaam?
Zipo kampuni mbili tatu na vijimeli vichache mtu aweza kufanya lakini pia unaweza kuwatumia mawakala wa makampuni makubwa ambao meli zao zinakuja bongo mara kwa mara
 
Kama tayari una Diploma ya umeme usihangaike na Class 3 au 2. Meli za kisasa zina mtu anaitwa ELECTRICAL TECHNICAL OFFICER (ETO) huyu ndie anayefanya kazi zote za umeme na electronics katika meli.

Ukienda DMI utasoma hii kama una sea time ya kutosha.
Kwa wewe inabidi ufanye sea time na kwenye oral examination ya kutafuta Certificate of Competence (CoC) ufanye ya ETO.

Ukiwa kama ETO utakuwa na wigo mkubwa kwenye makampuni makubwa huko duniani maana meli za miaka ya karibuni huwa na huyu mtu melini kutokana na mabadiliko ya teknolojia.
 
DMI nimeshawai kwenda mwaka Jana nikaenda kuongea na registrar ila Cha ajabu Kuna bimkubwa akanikomalia kusoma ETO.
Akanishauri nisome mandatory courses then kwenye seatime niombe nifanye kama ETO nifanye kwa muda usiopungua miezi 24 then nirudi DMI nisome ETO.
 
Yuko sahihi kabisa. Kama unataka uwe 3rd engineer itakubidi urudi darasani usome marine engineer kitu ambacho ni kama kupoteza muda.

ETO kwako ni njia sahihi na nyepesi ya kupata COC.
 
Umeeleza vema kiongoz ile Kuna baadh ya vitu vpo wrong kidgo kwa mfano huyo bosun yeye yupo upande wa deck tu Hana sauti kwa crew wa engine room Kama motorman,wiper,pump man,fitter.

Nowdays Mambo yanabadilika sio Kama tulivosoma dmi pia inategemea na kampun uliyopo kwa mfano kwenye safety Kuna wengne wanatumia 6 wengne 8 na wengne9

pamoja sana kiongoz melini ni patamu sana hasa ukiwa officer.
 
Kuna ndugu yangu amesoma bachelor degree in electrical and electronic engineering.
Anapenda kufanya kazi melini
je anatakiwa asome kozi gani?

Sent from my PDBM00 using JamiiForums mobile app
 
Kuna ndugu yangu amesoma bachelor degree in electrical and electronic engineering.
Anapenda kufanya kazi melini
je anatakiwa asome kozi gani?

Sent from my PDBM00 using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo wale mabaharia wetu wanaozamia huwa wanapewa nafasi gani,maana waki sign-off huwa wanasumbua mtaani balaa...
 
Kuna ndugu yangu amesoma bachelor degree in electrical and electronic engineering.
Anapenda kufanya kazi melini
je anatakiwa asome kozi gani?

Sent from my PDBM00 using JamiiForums mobile app
Kaka mm nilikula check number hivyo sikwenda dmi Bado, ila naona Bado mambo ni 00 itabidi likizo niingie dmi Sina namna nikapige mandatory courses
 
Niliishia hicho cheo cha Second Engineer kwenye Meli kubwa ila hizi za utafiti nilikua naomba kama Chief Engineer kwa kipindi hicho SA ushindani ulikua mdogo sana unachagua ufanye kazi kampuni ipi yenye maslahi...ila Debeers ukipata mkataba wao wa miaka miwili ulikua unalipa mno na wale A & J wavuvi wa samaki...
 
bado unafanya kazi ya ubaharia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…