Safari ni ndefu kama utataka kufika rank za juu ila kama unataka level za chini ni rahisi sana.Nina degree ya Logistics and Transport Management nimepata pale NIT, nataka kuwa baharia course gani ya ubaharia itanifaa?
Nina miaka 28, vp kuhusu kazi zinapatikana?Safari ni ndefu kama utataka kufika rank za juu ila kama unataka level za chini ni rahisi sana.
Unatakiwa ukasome mandatory courses ambazo zipo tano baada ya hapo utatakiwa ukachukue cdc ambayo ni kama passport ya kusafiria kwa mabaharia, ukishamaliza hapo inabidi uende ukafanye kazi kwenye meli ili uje kusoma rating. Hii ni option one
Optione.2
Unaweza kusoma diploma au degree ya ubaharia (kama umri wako unaruhusu nakushauri utumie option 2)
Ubaharia una hela nyingi sana ni vile wabongo wengi hawajafunguka. Imagine mimi mburula wa buza nakula mshahara wa 5milion kwa mwezi
Mm Nina bro wangu naye ni baharia kanikomalia sana niingie kwenye fani, na mwaka huu nimezamilia, Nina diploma & degree zote electrical and Electronic Engineering, ila kaniambia nikiingia kusoma baada ya mandatory courses nisome rating forming part of engineering watch, na nisisome electro technical rating kaniambia nikadili na engine coz kazi za kumwaga ni za engine. Naomba kuuliza je itanigharimu seatime ya muda Gani ili niweze kusoma class III (Third engineer/officer in charge of engineering watch). Au nidili na electro technical rating ili baadae nisome ETO. Msaada tafadhali!Safari ni ndefu kama utataka kufika rank za juu ila kama unataka level za chini ni rahisi sana.
Unatakiwa ukasome mandatory courses ambazo zipo tano baada ya hapo utatakiwa ukachukue cdc ambayo ni kama passport ya kusafiria kwa mabaharia, ukishamaliza hapo inabidi uende ukafanye kazi kwenye meli ili uje kusoma rating. Hii ni option one
Optione.2
Unaweza kusoma diploma au degree ya ubaharia (kama umri wako unaruhusu nakushauri utumie option 2)
Ubaharia una hela nyingi sana ni vile wabongo wengi hawajafunguka. Imagine mimi mburula wa buza nakula mshahara wa 5milion kwa mwezi
Mm nataka kusoma marine engineering, vp ina soko.Safari ni ndefu kama utataka kufika rank za juu ila kama unataka level za chini ni rahisi sana.
Unatakiwa ukasome mandatory courses ambazo zipo tano baada ya hapo utatakiwa ukachukue cdc ambayo ni kama passport ya kusafiria kwa mabaharia, ukishamaliza hapo inabidi uende ukafanye kazi kwenye meli ili uje kusoma rating. Hii ni option one
Optione.2
Unaweza kusoma diploma au degree ya ubaharia (kama umri wako unaruhusu nakushauri utumie option 2)
Ubaharia una hela nyingi sana ni vile wabongo wengi hawajafunguka. Imagine mimi mburula wa buza nakula mshahara wa 5milion kwa mwezi
Mm nataka kusoma marine engineering, vp ina soko
Soko lipo kwa kila fani hapa duniani ni vile tu wewe mwenyewe unatafutaje fursaMm nataka kusoma marine engineering, vp ina soko.
Naomba ufafanuzi wa oiler kaka[emoji120]AB(able seafarer)
Ni lazima awe amesoma rating of navigation watch keeping.
Na awe amesoma Able seafarer..
(ORDINARY SEAMAN) ni baharia wa kawaida ambaye hajasoma able seafarer.
Wala hajasoma navigation watch keeping hajasoma..
AB ndy mtendaji mkuu wa Kazi zote on deck..
OILER baharia wa engine department na ni lazima awe amesoma engine rating.,
WIPER ni baharia wa engine ambaye hana engine ratings..
Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
-(Oiler) Huyu ni experienced wiper ambaye amesoma rating of engine watch keepingNaomba ufafanuzi wa oiler kaka[emoji120]
Ndo hii DMI wanaiita Rating forming part of an engineering watch?.(Oiler) Huyu ni experienced wiper ambaye amesoma rating of engine.
Wiper ni baharia upande wa engine ambaye bado hana experience kubwa na mambo ya ufundi wa meli,,
Akijiendeleza na kusoma hiyo coarse inatwa rating of engine,, anapata cheti ambacho kitamtambulisha kama oiler...
-Wiper
-Oiler
-3 rd engineer
-2 nd engineer
-Chief engineer..
Hivyo vyeo vya engine department kutoka cheo cha chini hadi fundi. mkuu(chief engineer)
YesNdo hii DMI wanaiita Rating forming part of an engineering watch?
Je mtu mpaka aweze kufanya kazi kwenye izi meli wanaita oil,chemical tanker ship kuna requirements gani muhimu sana lazima ziwepo
Je mtu mpaka aweze kufanya kazi kwenye izi meli wanaita oil,chemical tanker ship kuna requirements gani muhimu sana lazima ziwepo?
Lazima asome vyeti vyote vya ubaharia,,halafu anasoma special couse ya mambo ya tanker and gas.Je mtu mpaka aweze kufanya kazi kwenye izi meli wanaita oil,chemical tanker ship kuna requirements gani muhimu sana lazima ziwepo
DMI wanayo hii Basic training for oil and chemical tanker cargo operations inafundishwa wiki1 natumai ndo yenyewe unaimaanisha?Lazima asome vyeti vyote vya ubaharia,,halafu anasoma special couse ya mambo ya tanker and gas.
Inaitwa( gas /chemical and oil tanker Couse)bila hii hufanyi meli za mafuta wala.gas wala chemical
Ndy hyo,, hata Mimi nimesoma hyo ingawa sifanyi meli za mafuta,DMI wanayo hii Basic training for oil and chemical tanker cargo operations inafundishwa wiki1 natumai ndo yenyewe unaimaanisha?