Mfahamu bondia aliyecheza mapambano 27 na kushinda yote kwa KO

Mfahamu bondia aliyecheza mapambano 27 na kushinda yote kwa KO

errymars

Member
Joined
Dec 17, 2019
Posts
98
Reaction score
285
Yapo majina ya mabondia ambayo hayatajwi kabisa kwenye historia ya mabondia ambao wame acha rekodi kubwa ,lakini leo utafahamu bondia ambae ameacha rekodi kubwa lakini jina lake huwa halitamkwi .Jina lake huwa limesahaulika halitajwi ni kama wame msahau bondia huyu.Jina lake anaitwa Edwin valero


MAJINA yake kamili anaitwa EDWIN VALERO, raia wa Venezuela, si jina mashuhuri sana lakini ni moja kati ya mabondia waliofanya makubwa kwenye BOXING, na kuacha rekodi tamu iliyoshindikana kuvunjwa hadi kufikia sasa.
20230402_092805.jpg
 
Back
Top Bottom