Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Mtaalamu wa michezo ya igaming David Natroshil aliyebadili kabisa mwelekeo wa michezo ya igaming casino Duniani.
Mwaka 2017 alifanya ugunduzi mkubwa baada ya kigundua na kutengeneza program ya aviator katika kampuni ya michezo ya casino iitwa Sprible.
Mchezo huo ulikuja kuwa maarufy duniani hata africa huku kampuni karibu zote za michezo ts betting na casino kujiunga na sprible ili kutoa hudums ya mchezo wa aviator.
Hata hivyo Michezo ya aviator katika kampuni za kubeti haifanani kwasababu wananunua features tofauti tofauti mfano Aviator ya 888bet ni tofauti na sport bet.
Pamoja na ugunduzi huo mkubwa na maendeleo katika tasnia ya michezo ya casino mtandaoni bado, tunashauriwa kucheza kistaarbau na kucheza kiwango ambacho hatutaumia endapo utapoteza.
Aidha unashauriwa kuwa kubeti sio kutafuta utajiri na usicheze pesa yakula au yenye majukumu mengine.
Jinsi ya kucheza Aviator bofya > HAPA>