Mfahamu Dikteta Hastings Kamuzu Banda wa Malawi aliyepiga marufuku kuvaa suruali

☺☺☺ hapana chifu
Alimtibu malikia kabla ya zoezi la kutibu akaambiwa wamuhasi kwanza ili asije akamtafuna malikia na zawadi yake ilikuwa kuwa rais wa milele nchini kwake malawi
Kwahyo jamaa alikubali kuhasiwa kwa malipo ya kuitawala Malawi,daah Bora nibaki na umaskin wangu lakin mashine iendelee kutwanga na kupepeta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…