Carbon 4real
Member
- Mar 8, 2025
- 7
- 10
Anaitwa Guy Ritchie amezaliwa Uingereza septemba 10 1968 kazi yake ni mwandishi na muongozaji wa filam ameandaa muvi nyingi kali kama Operation Fortune, The Gentleman ilishinda tuzo ya muvi bora ya action mwaka 2020 , Wrath of Man na nyingine kibao ata ile love story ya Aladdin ilishinda tuzo ya Muvi bora yenye maudhui ya kufikirika mwaka 2020 iliyochezwa na Will Smith.
Sasa Guy Ritchie yupo kwenye kuiandaa The Gentleman season 2 baada ya season 1 kutoka mwaka jana 2024.
Kwenye upande wa mahusiano Guy amewahi kufunga ndoa na mwanadada madonna ila kwa bahati mbaya ndoa ilivunjika huku Guy akidai kuwa Madonna anautoto mwingi.
Wrath Of Man inabaki kuwa muvi yake bora kuwahi kuifanya ikiwa na mhusika mkuu ndani ambaye ni Jason Statham akiucheza vizuri uhusika wake.