Mfahamu Edwin Mtei: Gavana wa kwanza Tanzania na muasisi wa CHADEMA

Ryan Herman

Member
Joined
Jul 26, 2019
Posts
42
Reaction score
46
EDWIN MTEI alizaliwa jumanne 12.7.1932 siku hiyo mama yake Akiwa mjamzito akiambatana na jirani yake waliamka asubuhi Sana na kwenda kwenye shamba la mahindi na maharage lililokua km 8 kutoka Marangu.

Asubuhi hiyo Bi. Anginaeli alijifungua Mtoto EDWIN huku Mama huyo akirejea nyumbani kibabe Kama hajajifungua, wanawake kipindi hicho walikua ngang'ari kinoma. Bwana ELIPENDAELI hakutaka kabisa ijulikane kuwa ndio baba wa Mtoto huyo kwani Mtoto huyo alipatikana kimagendo yaani mtu na binamu yake walipata Mtoto. Hivyo hata mama yake alificha Siri hii na hakutaka watu wajue kuwa Edwin ni Mtoto wa Elipendaeli ingawa mzee huyu alikua akipeleka matumizi kwa Siri.

1943 Mtei alianza shule Marangu Native primary school amabapo alisoma na vipanga mwenzake kama W. KLERUU. Maisha ya Mtei yalikua ya kubangaiza Sana huku wakiishi kwenye nyumba ya nyasi. Mtei alifanya mtihani wa darasa la 4 kwa Northern province mwaka 1944 matokeo yalitangazwa na headmaster mzungu G, GINNER wa Old moshi Mtei alishika nafasi ya 1 hivyo aliitwa kusoma Old Moshi Secondary.

Mtei alifika shulen na kupokelewa na Mwalimu Mange'nya aliyekuja kuwa Spika wa bunge la Tanzania. Hapa alisoma na rundo la vipanga kama MSUYA na Sertwartt. Mwaka 1946 kulikua na mtihan wa standard VI kwa nchi nzima ili kwenda standard VII alifiwa na baba yake 1946 ivyo kulipa Ada ikawa ni ngumu.

Hata hivyo alipasua pepa na headmaster Ikabidi Kufanya kitu kisichokuwa cha kawaida kwa kuwaandikia barua machifu wote wa kichaga October 1950 alifanya mtihani wa standard X Territorial exams alifaulu vizurii Sana hvyo kuchagiliwa kenda TABORA BOYS na akakwea treni kwenda tabora na kupokelewa na headmaster CARRABE.

Akiwa hapa alikutana na vipanga kibao kama G, Mmari aliyekuja kuwa Vice chancellor UDSM, KAMBONA, LUSINDE walikuja kuwa Mawaziri, M. BOMAN aliyekuja kuwa AG. Mtei hakuwa mtu wa kispoti aliwatia adabu vijana hao Kwani kwa miaka miwili mfululizo alishika nafasi ya 1 Licha ya kukabiliwa na utitiri wa vipanga hiyo ni 1952&1953.

Pia alikua ni mbabe wa Kutema lugha ya Kiingereza hapo akawa mkali wa debate.1952 Headmaster huyo akaandika shuleni kuwa "EDWIN MTEI is an excellent debator". October 1952 alifanya mtihani wa Cambridge Overseas Exams huu ulikua mtihani wa Tanzania,Uganda na Kenya.

Mtei akawa mwanafunzi bora kwa nchi zote hivyo akachaguliwa kwenda chuo kikuu cha MAKERERE Uganda ambapo alikutana na wanafunzi wenzake huko aliendeleza moto uleule Kwani aliibuka mwanafunzi bora wa HISTORY ESSAY COMPETITION na kupewa kabati lililojaa vitabu vya thamani ya €200.

Mwaka 1957 alifanya mtihani wa mwisho na kukabidhiwa shahada hvyo alirudi Tanzania. Alikutana na Nyerere DSM mwaka 1959 Mwalimu alimwambia kuwa ipo siku wazungu wataondoka.

Mwaka 1964 aliteuliwa kuwa Katibu wa Wizara ya fedha akafanya jambo la kizalendo kwa kuipa kampuni ya MECCO kujenga benki kuu. Nyererere 1965 alimuteua kuwa Gavana wa BOT Akiwa na umri mdogo kabisa alikabidhiwa majukumu ya kutayarisha fedha kushughulikia sheria ya kuanzishwa kwa BOT kuajiri wataalam na kutoa mafunzo kwa Wafanya kazi.

Alienda Marekani na kukutana na Daudi Balali akisoma Harvard hivyo alimshauri kusomea mambo ya Benki kwani alivutiwa sana na uwezo wa kijana huyu, pia alimuibua Daniel Yona na kumuajiri.

Nyerere alijipunguzia mshahara hata Mtei pia alifuata nyanyo hizo kwani hawa ndio walikua wakilipwa mishara mkubwa zaidi Tanzania na Hakuna mamlaka iliweza kuhoji. Nyerere alimteua kuwa Waziri wa fedha 1977 na kutokana na vita ya Kagera Mtei alienda U.S.A kutafuta misaada kwani nchi ilikua na hali ngumu na ilikua ikitumia $500,000 kwa siku.

Hivyo akapewa masharti ya IMF kushuka kwa shilingi ya TZ na kuimarisha mashirika ya umma hapa ndio mgogoro na Nyerere ulipoanzia kwan aliyakataa haya yote kwa kusema "hawezi kuicha nchu iendeshwe kutoka Washington"

Ilimbidi Mtei aje na wataalam kumpa darasa mwalimu nyumbani kwake Msasani lakini Nyerere aliwaacha sebulen na kuenda ufukweni kupunga upepo na alipofuatwa alisema hawezi badili msimamo wake hvyo waondoke Mara moja, Mtei aliona Kama amedharaulika hivyo aliendesha gari yake kwa kasi hadi ofisini.

Alipofika ofisini alindika barua ya kujiuzulu kwa mkono na kuicha mapokezi ili Jumatatu Katibu Muhstasi aichape, baada ya kuandika barua hiyo alipigiwa simu na Mh MALECELA kuwa wote wawili wanaitajika na Nyerere Msasani.

Mwalimu aliamuru kiwanda cha TANGANYIKA PLANTANTIO COMPANY kinunuliwe na serikali lakini hapakua na hela na Mtei ndie alie dai hivyo hasira yake ilikua juu sana hivyo alienda ofisini siku hiyo hiyo na kuchua barua lakini kipindi anatoka alikutana na msaidizi wa Nyerere Akiwa na barua ambayo alimpatia nae bila kuisoma alienda kwa Nyerere ili kumkabidhi barua ya kujihuzulu aliulizwa iwapo aliisoma barua ya mwalimu lakini alisema hajaifungua basi alikubaliwa matakwa yake hayo.

Mtei aliona "kitumbua kimeingia Mchaga hapa mjini" hivyo aliuza jumba lake la Masaki na kurudi Tengeru ambapo alinunua shamba kubwa nje kidogo ya Arusha (TENGERU) na kuhamia huko lakini alikaa kidogo akateuliwa kuwa secretary wa IMF akiziwakilisha nchi za Afrika zinazoongea kiingereza huko Alipiga kazi haswa.

Mzee Mwinyi alimteua Kama Mwenyekiti wa board na commission nyingi kipindi chake yaani serikali ya Awamu ya pili.

Mh Mtei 1992 alianzisha CHADEMA chama cha upinzani kilicholeta Maajabu makubwa katika siasa za Tanzania ambapo alilazimika kwenda Butiama kumuonyesha Nyerere KATIBA ya CHADEMA na Mwalimu aliisifia Sana Katiba hiyo Kama itatekelezwa.
 
MAREKEBISHO

Hatukuwahi kuwa na Tanzania kabla ya 1964.

UTANI
Kumbe ndio maana CHADEMA wanaakili za hivyo hivyo, REJEA UPATIKANAJI WA MIMBA YA MUASISI.
 
Inaitwa Tanganyika lkn naona mumejigeuza jina munajita Tanzania bara neno Tanganyika hamulitaki kwa sababu muzidi kuwazulumu wa Zanzibar kwa kivuli cha jamhuri ya mungano wa Tanzania
 
Alikua kichwa sana asee
 
uzi mzuri sana....tangu 2019 wahafidhina wanaupita kama hawauoni.
 
Hawa jamaa wa IMF inabidi ukubaliane nao kwani wao ndio wenye pesa. Hapo mwalimu alikosea. Mtei, Kambona wote waliokuwa na mawazo ya kizalendo ila wakazidiwa akili na mwalimu.
 
Alikopi katiba ya NCCR MAGEUZI, na neno CHADEMA ilikuwa Sehem ya LOGO ya NCCR MAGEUZI,Iliyokuwa chini ya professor Baregu..wakati huo.
FB_IMG_1679484391620.jpg
 
Back
Top Bottom