Mfahamu Eric Shigongo: Maisha na historia yake

Mkuu hapo ni kama unamponda either kwa kulinganisha kiwango chake cha Elimu na chako na kuona hafai.

Pia mnapaswa kufahamu ana watoto ni twins kawatelekeza aliwapata wakati anafanya kazi ya ukunga katika mojawapo ya Hospital iliyoko Mkoa wa Mwanza.Hao watoto wamekuwa kwa shida wakilelewa na bibi yao baada ya mama yao kufariki,walikuwa wanauza mahindi ya kuchemsha kwenye kituo cha mabasi.Afanye kuwahudumia kama anavyohudumia hawa wengine.Ni hayo tu.Pamoja na mazuri mengi aliyonayo,basi afanye pia kuwasaidia hao watoto,they deserve the best kutoka kwake kama Baba yao.
 
Kama hii ipo basi afanye hivyo walau awasaidie maana uwezo anao tena vizuri sana.
 
Wewe ndio huendelei. Sisi tunaendelea
 
Shigongo ni mpambanaji haina ubishi. Lakini kama UDSM wamemkataa aangalie chuo kingine... kila chuo kina taratibu zake. Kusoma UDSM lazima uwe vizuri form IV na VI
 
Shigongo ni mpambanaji haina ubishi. Lakini kama UDSM wamemkataa aangalie chuo kingine... kila chuo kina taratibu zake. Kusoma UDSM lazima uwe vizuri form IV na VI
Kweli kikubwa kama lengo lake ni kusoma masters basi anaweza kwenda hata vyuo vingine na bila shaka vyuo vitajivunia uwepo wake.
 
Jamaa nilimjua Tabata hostel Fulani tuliishi wote...wanaaposema ametoka mbali Mimi Nina sehemu ya Ushuhuda huo ..Bro ukiona post hii hebu ni njoo Pm tukumbushane ya kwa Wapalila !!
 
Jamaa nilimjua Tabata hostel Fulani tuliishi wote...wanaaposema ametoka mbali Mimi Nina sehemu ya Ushuhuda huo ..Bro ukiona post hii hebu ni njoo Pm tukumbushane ya kwa Wapalila !!
Elezea kidogo
 
Jamaa nilimjua Tabata hostel Fulani tuliishi wote...wanaaposema ametoka mbali Mimi Nina sehemu ya Ushuhuda huo ..Bro ukiona post hii hebu ni njoo Pm tukumbushane ya kwa Wapalila !!
Mkuu jaribu kutupa habari kidogo juu yake ili kuzidi kumfahamu vizuri.
 
Mkuu jaribu kutupa habari kidogo juu yake ili kuzidi kumfahamu vizuri.
Kipindi amehamisha gazeti lake la Uwazi,kutoka Mwanza kuja Dar ,Computer aliyokuwa anatumia πŸ˜ƒπŸ˜ƒ ...awali Mimi nilijua jamaa ( na mdogo wake) ni mafundi kanjanja wa Computer Maintainance and Repair!
Mengine too personal Nina uhakika alishayaeleza kwenye Simulizi zake xa maisha!
 
Asante, kumbe hakika amepambana sana.
 
Jamaa nilimjua Tabata hostel Fulani tuliishi wote...wanaaposema ametoka mbali Mimi Nina sehemu ya Ushuhuda huo ..Bro ukiona post hii hebu ni njoo Pm tukumbushane ya kwa Wapalila !!
You are a true friend! Umemjua ila hujataka kumpondea na kutumia kama kigezo cha kumdhalilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…