Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Kweli dunia ina mambo na vijambo leo nmeanzisha thread watu wapost pic zao Evelyn Salt akapost picha iliyonistua huwezi amini lakini amini usiamini Evelyn Salt ni star mwenye pesa chafu huko uingereza ambae anafahamika kwa jina la Sara Ianni Sharif
Picha aliyopost:
thread hii hapa:https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/608373-tujuane-kwa-sura-tupia-pic-zako.html
Picha halisi za mwanada sara ianni sharif ni hizi
Picha aliyopost:
thread hii hapa:https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/608373-tujuane-kwa-sura-tupia-pic-zako.html
Picha halisi za mwanada sara ianni sharif ni hizi