Mfahamu Evelyn Salt Mwanadada Aliyepost Picha Kali za Uongo Hapa JF

hahahaaaaaaa ila watu wana mambo humu

ko we ulidhani utawekewa picha halisi from nowhere

Kujianika hamu ndani nako kipaji na sio wote wanaowezaa
 
ka n ww ngoja 2ongee nkupe lile prado lang nlomwazma diamond af nkufungulie salun pale sinza kwa remmy yan lazma ujdai yan mtt umeumbka ww@evelyn salt
 
kama kweli ndio wewe kwenye hizo picha basi saluti nakupa we ni bonge la cutie pie
Hahahahaha kumbe huwa mnayumba namna hii na akanana wa watu....
Hahahahahaha
Je ungependa kuwa mwanafunzi wa Mwl Evelyn Salt?Kumbuka nafasi za kupokea wana funzi ni chache.



Hahahahaha Mwlm umekuwa Celeb kama Wema na Kajala hahahahaha
 
Last edited by a moderator:
Kwenye hii picha, she is like, look at my boobies!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…