Mfahamu Evelyn Salt Mwanadada Aliyepost Picha Kali za Uongo Hapa JF

Evelyn Salt baby wangu unataka nini toka kwangu
Najisikia kukuhonga dunia utafiti kasema mungu fundi ni fundi kweli kweli!umeumbika ni mzuri.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha kumbe huwa mnayumba namna hii na akanana wa watu....
Hahahahahaha
Je ungependa kuwa mwanafunzi wa Mwl Evelyn Salt?Kumbuka nafasi za kupokea wana funzi ni chache.



Hahahahaha Mwlm umekuwa Celeb kama Wema na Kajala hahahahaha
Itabidi niajiri mpiga picha wangu kabisa, sijui nimnyang'anye diamond....
 
Yaani wewe ukikaa ukadhani mtu ataposti picha zake?

Unachekesha
 
Mi mtoa mada kama nimemuelewa vizuri, ni kwamba picha aliyoipost EVELYN SALT si yake bali ni ya STAR wa Uingereza anayeitwa SARA SHARIF, kwahiyo hiyo picha iliyoandikwa EVELYNE SALT ni ya STAR huyo wa kiingereza
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…