Mfahamu Frincesco Lentin binadamu aliyezaliwa na miguu mitatu

Mfahamu Frincesco Lentin binadamu aliyezaliwa na miguu mitatu

NGolo Kante

Member
Joined
Feb 28, 2017
Posts
80
Reaction score
131
Alikua ni raia wa Marekani alizaliwa 18/5/1889 nchini Marekani. Alizaliwa akiwa na miguu mitatu na yote ilikua inafanya kazi alizaliwa akiwa na sehemu za siri za kiume mbili (2)

Shemu za siri za Kiume mbili na zote zilikua zinafanya kazi na alikua na jumla ya vidole kumi na sita (16) na alikufa na ugonjwa wa mapafu huko Florida Marekani tarehe 21/9/1966 akiwa na miaka 78.

1596447529579.png

Source: Mkomonisti Wa Twita​
 
Akitembea alikuwa anarudi nyuma au anakwenda mbele
 
Hawa ndo wakizaliwa Tanzania wanauliwa na wakunga kimya kimya, halafu utasikia alizaa mtoto ana jicho moja. Kumbe ni hali inayoelezeka tu kitaalamu. Huyo amezaliwa na hali inayoitwa #ParasiticTwin. Wapo wengi duniani.
 
Back
Top Bottom