Alikua ni raia wa Marekani alizaliwa 18/5/1889 nchini Marekani. Alizaliwa akiwa na miguu mitatu na yote ilikua inafanya kazi alizaliwa akiwa na sehemu za siri za kiume mbili (2)
Shemu za siri za Kiume mbili na zote zilikua zinafanya kazi na alikua na jumla ya vidole kumi na sita (16) na alikufa na ugonjwa wa mapafu huko Florida Marekani tarehe 21/9/1966 akiwa na miaka 78.
Hawa ndo wakizaliwa Tanzania wanauliwa na wakunga kimya kimya, halafu utasikia alizaa mtoto ana jicho moja. Kumbe ni hali inayoelezeka tu kitaalamu. Huyo amezaliwa na hali inayoitwa #ParasiticTwin. Wapo wengi duniani.