Mfahamu George Stinner Jr, black America,kijana wakimarekani mweusi aliyeuawa kikatili alinyongwa akiwa na umri wa miaka 14 pekee

Mfahamu George Stinner Jr, black America,kijana wakimarekani mweusi aliyeuawa kikatili alinyongwa akiwa na umri wa miaka 14 pekee

Mchunguzi Fukara

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2021
Posts
215
Reaction score
274
Leo nimewaletea picha na video ya tukio mojawapo lililoleta ukakasi/na kuwaumiza wamarekani weusi miaka nyuma NCHINI MAREKANI, George Stinney Jr black America alikuwa kijana mwenye umri mdogo zaidi kuuawa kikatili Marekani akiwa na umri wa miaka 14 alinyongwa June 16,1944 na alizaliwa October 21, 1929

352069120.jpg


Kabla ya kunyongwa dogo alikuwa anasisitiza kuwa hana hatia hahusika na mauaji ya mabinti wawili na pia dogo wakati wote wa majaribio alishikishwa Biblia mikononi mwake. Alishtakiwa kuwaua wasichana wawili wa kizungu, Betty 11, na Mary 7, ambao walikuwa wanaishi karibu na nyumbani kwa kina
-1355640235.jpg


George, Mahakama ya wazungu ilimtia hatiani baada ya kesi iliyounguruma ndani ya masaa mawili na mashauri ya dakika 10 ambayo wazazi wake hawakuweza kuhudhuria kesi hiyo, na ilibidi waondoke mjini baadaye.

George alifungwa gerezani kwa siku 81 kabla ya kunyongwa hakuweza kuonana na familia yake yaani wazazi wake.
Alinyongwa kwa kutumia kiti cha umeme bila ya wazazi wake kuwepo wala wakili wake, na alipewa voltage ya umeme ya hali ya juu sana. <<<Angalia video ya George akiwa ananyongwa kutumia umeme angalizo inatisha kidogo


View: https://youtu.be/THF1w5box7s?si=t4qAzN84MmoNqWoK

Miaka kadhaa baadaye jaji huko Southern Carolina alifuta jina.
Kiukweli silaha ya mauaji iliyotumika ilikuwa nzito sana ukilinganisha na umri wake. Tunamkumbuka George Stinney Jr na Tunatumaini amepumzika kwa amani peponi.
 

Attachments

  • -1355640235.jpg
    -1355640235.jpg
    213.8 KB · Views: 5
Hatar sana kwakweli,,sasa kuna ile watoto wa kinegro walikuwa wanawekwa ziwani au katika mito kama chambo cha kuwapata mamba,dunia hii hakika haki itapatikana siku ya kiyama
 
Back
Top Bottom