Mfahamu Ginimbi wa Uingereza Tim Burton (schmee)

Kuna boya mwingine kanunua gari arobain kwaajili ya subscribers wake kitu wasichokijua wadau wengi wanao ona kama too much show off ni kwamba hawa watu wanaingiza mpunga kwa luxury life styles zao
Sio Mr Beast huyo[emoji1][emoji1]
 
Kumbe Shmee ni muingereza?
Nilidhani ni raia wa marekani.
Cheki lafudhi yake mbona inajieleza kama unawafahamu Waingereza lafudhi (accent) inawatambulisha sababu hamna wanaefanana nae
 
Cheki lafudhi yake mbona inajieleza kama unawafahamu Waingereza lafudhi (accent) inawatambulisha sababu hamna wanaefanana nae
Ana kithembe.

Ni ngumu kujua anatokea wapi.

Mf. Saabkyle ni mmarekani ila ana kingereza kizuri kama muingereza.

Btw, niliacha kuangalia reviews za shmee kwa kithembe chake.
 
Mkuu akili yako unaitambua mwenyewe.

Kwa hiyo unaamini kwamba kila neno tafsiri yake ni universal? unavyoielewa maana ya neno PAGAN haina maana kila mtu/jamii wanalielewa hivo.

Haya mambo ya kupangiana ukipata mpunga...sijui..toa misaada kwa Yatima, wagonjwa au fukara..ni uamuzi wa mhusika (ukiweza tutakushukuru). Lakini hatuwezi kumpangia mtu matumizi ya pesa yake.

Wewe kama umeamua kwamba mali yako iko mbinguni..so be you! wanaotaka kumalizana na dunia humu humu waache…..maybe na wewe Range yako utaikuta mbinguni. ila kwa aliyeamua kuiendeshea duniani...muache..usimsumbue wala kumsema vibaya (unless ameibia wengine).

Tusipende kujifarijisha na mambo ya Imani tunaposhindwa kutoboa kwenye Maisha.....

Mpaka siku naondoka duniani...naamini kwa dhati kabisa….Mungu hapendi watu wake wawe masikini. Ndo maana ukipambana utafanikiwa in your own way! (definition ya mafanikio iwe ya kwako..siyo ya mwingine).
 
Sawa mkuu
 
Hizo picha zingine sio za magari yake
 
Sio Mr Beast huyo[emoji1][emoji1]
Jamaa fala sana yule... Sana... yaani kuna siku alienda Mall akanunua KILA KITUUU supermarket na akikukuta unanunua anasema beba unachotaka nitalipa
 
Hizi showoff zinavutia mno zikifanywa na watu weusi na sio weupe...
 
Jamaa anashambuliwa kweli kwenye youtube comments wadau wanadai kazidisha kujionyesha mwezi hupiti ananua gari la gharama YATOSHA.
Nilikuwa sjui kama wazungu nao huwa wanambwembwe za hv
 

Tulicho bakisha huku tanzania ni mdomo na serekali kuchungulia youtube na mitandao ili wadai chao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…