Mfahamu Grand P, Msanii mwenye mvuto wa aina yake

Huyo bwana Gran P analolitafuta atalipata. Maanaake duh!
 
Hawammegei huyo. Inawezekana jamaa anajituma sana, maana sister waafrika kwa hayo mambo tumejaliwa
🤣🤣🤣 Ila jamaa yupo vizuri kumega chombo kama hicho
 
Huyo Dogo Grand P Aliwahi kutangaza nia yake ya Kugombea kiti cha Urais nchini Guinea Mwaka 2020, aliishiaga Wapi??
Nahisi ilikuwa moja ya njia ya kutoka.
Kibongo hiluita kiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…