Mfahamu Hussein Shekilango, aliyepewa barabara Dar (Bamaga - Urafiki) kutambua mchango wake kwa Taifa

Hizi ndio History tunazopaswa kuzifahamu.
Naomba siku nyingine mtuletee ya watu walioanzisha na waliokua mstari wa mbele kudai uhuru wa Tanganyika
 
asante sana kwa taarifa maana nilikuwa sijui km huyu Mgosi wa kaya alifariki kwa ajali ya ndege akitokea Kampala kikazi.
ila Mtaa wa Shekilango naufahamu sana tangu miaka ya 1980
 
Nilikutana na mzee mmoja ni mstaafu wa jeshi alitakiwa apande hiyo ndege bahati mbaya akaenda kwenye starehe alipofika ndege ikawa imeshaondoka ikabidi asafiri na ndege nyingine, kwa kuwa alikuwa miongoni mwa abiria waliotakiwa kusafiri zikaja taarifa kuwa na yeye amefariki jeshi likawa limeshapeleka chakula na watu wakawa wanaombeleza kusubiri taratibu nyingine huku nyuma akapata usafiri mwingine kufika kwake anashangaa kukuta watu na watu wanamshangaa yeye kwani taarifa zilishafika amefariki ikabidi waelezee nini kimetokea.
 
Umetisha sana mkuu, wengi wamekuwa updated.
 
Not well analysed but well narrated. ?
U better concentrate to the crux of the motion bro, rather than initiating an uncalled discussion out of context! Grow up kid, and sometimes "learn to keep quiet when big boys" are chatting ok!
 
U better concentrate to the crux of the motion bro, rather than initiating an uncalled discussion out of context! Grow up kid, and sometimes "learn to keep quiet when big boys" are chatting ok!
Dah! Big boys are chatting!
 
Duh, thank you kwa kunikumbusha, kwa kunikumbusha ingawa nilisahau kidogo kuhusu kifo chake, nilidhani ilikuwa ajali ya gari, thank you. Vijana wa siku hizi inabidi wasome historia hii.. Nimefurhahishwa sana kwa kunikumbusha. thank you.
 
Asante kwa kuniongezea kitu kichwani maana nilikiwa sijui lolote kuhusu Shekilango zaidi ya kufahamu ni jina la mtaa tu na Barabara yake.
 
Hizi ndio History tunazopaswa kuzifahamu,
Naomba siku nyingine mtuletee ya watu walioanzisha na waliokua mstari wa mbele kudai uhuru wa Tanganyika
mbona shule ya msingi na sekondari hilo linafundishwa sana, wewe hukuhudhuria?
 
Hizi ndio History tunazopaswa kuzifahamu,
Naomba siku nyingine mtuletee ya watu walioanzisha na waliokua mstari wa mbele kudai uhuru wa Tanganyika
Indeed tunataka mambo kama haya sio uharo wa kina Lizabo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…