mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 901
- 1,742
Isaac Maliyamungu (The Killing Machine) alikuwa askari mtiifu wa Rais wa Uganda Idi Amin Dada, alipewa mamlaka ya kuua,kuteka,kutesa na kupoteza yeyote isipokuwa Amin na familia yake na alifanya hivo. Uzuri ni kwamba aliemlinda na yeye walikufa wote wakaiacha Uganda.