Torque vs HP
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,769
- 5,084
Hahah Kabarebe amgeuke Kagame?😂😂😂😂 Naona uko ndotoni mkuu.kwanza nakupongeza sana mkuu, Nyuzi kama hizi ni chache sana humu ndani
huyu jamaa ndiye alioteka Zaire, Kagame anamuamini sana huyu, kwa kifupi huyu na wenzie walikuwa na uwezo wa kumgeuka kabila na kagame waendeshe zaire wao
Huyo ni mtoto aliyefundwa na PK.alikua kamanda mwenye mbinu nyingi nadhani kuliko pk
Haya maujinga ya watusi na wahutu umeyaleta humu ya kazi gani??? Peleka huko kwaoMfahamu Jenerali James Kabarebe Kwa Ufupi
• In 1990, Kabarebe became aide-de-camp to Kagame — later becoming Commander of the High Command Unit at Mulindi, and head the Republican Guard.
• In 1996, Kabarebe was in command of Rwanda’s invasion of DR Congo.
In 1997, Kabarebe became Congo’s army chief of staff after the defeat of Mobutu Sese Seko.
• In 1998, Kabarebe led the second invasion of DR Congo after he was dismissed as chief of staff.
• In 2002, Kagame appointed Kabarebe Chief of Defence Staff of the Rwandan Defence Forces.
• In 2010, Kagame appointed Kabarebe Minister of Defence.
In 2010, Kabarebe cited in the United Nations’s Mapping Report on Congo for the genocide of Congolese and Rwandans during the First & Second Congo War, alongside Kagame.
• In 2012, Kabarebe cited by the UN as de facto commander of M23 militia that overrun Goma, DR Congo.
• On October 18, 2018, Kagame dumped Kabarebe to ”senior advisor.”
• Mid-August 2019, Kagame places Kabarebe under house arrest.
View attachment 1753330
Mkuu, nazungumzia "uwezo" ,angetaka angefanya hivo kwa sababu huyu jamaa ndio alikuwa kiongozi wa ile vita na ndiye alikuwa wa kwanza kufika kinshasa akipitia mto congoHahah Kabarebe amgeuke Kagame?😂😂😂😂 Naona uko ndotoni mkuu.
Hahah alikua na majority support kutoka kwa nani mkuu?Ya RPA au AFDL au nani?Kama ulikua hujui mchoro wote wa Kuivuruga Congo ulichorwa Kigali na wakina Pk&associates na James alitumwa kutekeleza kilichopangwa kwny ramani tayari na kama ulikua hufahamu Kabarebe alikua ni Bodyguard wa Kagame wkt RPA(wakiwa waasi) ikipambana msituni miaka yote kwa hio huyo ni nyokaa wa PK kama ulikua hufahamu.Mkuu, nazungumzia "uwezo" ,angetaka angefanya hivo kwa sababu huyu jamaa ndio alikuwa kiongozi wa ile vita na ndiye alikuwa wa kwanza kufika kinshasa akipitia mto congo
jamaa anasema yeye ndiye alimpigia simu kabila kumjulisha tayari mji wa kinshasa umetekwa, yani kwa kifupi huyu ndiye alikuwa anaongea na kabila na kagame direct
na huyu jamaa ndiye aliongoza serikali maana kabila hakufika kinshasa haraka hivo serikali ilikuwa chini yake (ukumbuke silaha nzito na sehemu nyeti kama makao makuu ya jeshi na vituo vya radio vilikuwa kinshasa)
hivo basi, kwa kusema hayo, huyu jamaa alikuwa na uwezo wa kuwageuka kagame, kabila na museveni na akatangaza rais aliyemtaka yeye au yy mwenyewe akawa Rais kwa sababu he had both majority suport and the army
Hapana mkuu naomba nikupinge kigezo cha kwamba mtu akikufunda huwezi furukuta kwake sio cha kweli.Hahah alikua na majority support kutoka kwa nani mkuu?Ya RPA au AFDL au nani?Kama ulikua hujui mchoro wote wa Kuivuruga Congo ulichorwa Kigali na wakina Pk&associates na James alitumwa kutekeleza kilichopangwa kwny ramani tayari na kama ulikua hufahamu Kabarebe alikua ni Bodyguard wa Kagame wkt RPA(wakiwa waasi) ikipambana msituni miaka yote kwa hio huyo ni nyokaa wa PK kama ulikua hufahamu.
Kabarebe ni kichwa na strategist mzuri na alithibitisha hilo kwny Operation Kitona lkn kwenda kinyume na PK ubavu huo hana.
Kagame alishawaambia RPA boys Nyamwasa,Karegeya,wakina Kabarebe na high committee yote ya RPA/F kwamba he made them na yoyote atakayeenda kinyume atapelekwa anakostahili na wanajua hilo na alishatoa mifano kwa baadhi yao.
mkuu, 1.majority support ni wananchiHahah alikua na majority support kutoka kwa nani mkuu?Ya RPA au AFDL au nani?Kama ulikua hujui mchoro wote wa Kuivuruga Congo ulichorwa Kigali na wakina Pk&associates na James alitumwa kutekeleza kilichopangwa kwny ramani tayari na kama ulikua hufahamu Kabarebe alikua ni Bodyguard wa Kagame wkt RPA(wakiwa waasi) ikipambana msituni miaka yote kwa hio huyo ni nyokaa wa PK kama ulikua hufahamu.
Kabarebe ni kichwa na strategist mzuri na alithibitisha hilo kwny Operation Kitona lkn kwenda kinyume na PK ubavu huo hana.
Kagame alishawaambia RPA boys Nyamwasa,Karegeya,wakina Kabarebe na high committee yote ya RPA/F kwamba he made them na yoyote atakayeenda kinyume atapelekwa anakostahili na wanajua hilo na alishatoa , mifano kwa baadhi yao.
Acha kuandika vitu usivyokua na uhakika navyo jomba na kama ni hio documentary ya Kabarebe iliyoko youtube nimeshaiona zaidi ya mara 4 mkuu.mkuu, 1.majority support ni wananchi
p2.kwa mujibu wa interview aliyofanya huyu jamaa ni kwamba mchongo wa kuvuruga congo ulipanga hapa Tz,yani nyerere alimuintroduce kabila kwa Museven then museven akampleka kabila kwa james ambap james alitumwa na paul
ngoja nitaleta maelezo ya james mwenyewe kwenye documentary
Okmkuu, 1.majority support ni wananchi
p2.kwa mujibu wa interview aliyofanya huyu jamaa ni kwamba mchongo wa kuvuruga congo ulipanga hapa Tz,yani nyerere alimuintroduce kabila kwa Museven then museven akampleka kabila kwa james ambap james alitumwa na paul
ngoja nitaleta maelezo ya james mwenyewe kwenye documentary
members hapo juu wamesema yupo kigali amewekwa house arrest, mimi binafsi mara ya mwisho nilimuona kama miaka miwili imepita kwenye media,alikuwa karibu na KagameSasa yuko wapi?
Ok
Mpaka leo yuko kwenye house arrest?Mfahamu Jenerali James Kabarebe Kwa Ufupi
• In 1990, Kabarebe became aide-de-camp to Kagame — later becoming Commander of the High Command Unit at Mulindi, and head the Republican Guard.
• In 1996, Kabarebe was in command of Rwanda’s invasion of DR Congo.
In 1997, Kabarebe became Congo’s army chief of staff after the defeat of Mobutu Sese Seko.
• In 1998, Kabarebe led the second invasion of DR Congo after he was dismissed as chief of staff.
• In 2002, Kagame appointed Kabarebe Chief of Defence Staff of the Rwandan Defence Forces.
• In 2010, Kagame appointed Kabarebe Minister of Defence.
In 2010, Kabarebe cited in the United Nations’s Mapping Report on Congo for the genocide of Congolese and Rwandans during the First & Second Congo War, alongside Kagame.
• In 2012, Kabarebe cited by the UN as de facto commander of M23 militia that overrun Goma, DR Congo.
• On October 18, 2018, Kagame dumped Kabarebe to ”senior advisor.”
• Mid-August 2019, Kagame places Kabarebe under house arrest.
View attachment 1753330
Huyu jamaa alikuwa anajua sana, kikosi chake kilikuwa na watu wachache tu lakini ametoboa kwingi tu, lakini kwa Kagame alitakiwa aende kwa nidhamu, kagame ameshawazima mageneral mpaka walioikimbia nchi. Huko huko walikokimbilia wakafuatwa wakazimwa. Seuze yeye aliye ndani ya milki. Akae kwa kutulia!!
Kaberebe??!Mjomba ake Hypolite Kanambe ( joseph kabila jr)
KigaliSasa yuko wapi?
Mara ya mwisho nilimuona DRC eneo moja linaitwa KolweziSasa yuko wapi?