Mfahamu Jenerali James Kabarebe kwa ufupi

Nafikiri labda ni vile Idara TZ ilihusika ku mlink kum introduce PK
 
Katika oparation gani mkuu shusha Nondo

..mzee kabila alimtimua kaberebe na kumuamrisha arudi kwao rwanda.

..kabarebe akaamua kurudi kikomandoo kupitia airbase inaitwa kitona.

..bahati mbaya mzee kabila akaomba msaada toka kwa 5th brigade ya zimbabwe.

..kabarebe akachezea kichapo ikabidi atoroke kupitia angola kwa msaada wa waasi wa unita.
 
Nashukuru sana mkuu
 
Nimekupata mkuu, tuko pamoja
 
Ila jamani mi najiuliza hivi ni kweli mgogoro wa Congo umekosa suluhu? Au kama watu wasemavyo kuwa PK & YKM wanahusika, kama wakianguka suluhu itapatikana?
 
Amefanana na Marehemu Dr shika
R.I.P Dr Shika. Sikuwa na taarifa kabisa juu ya kifo cha mtanzania mwenzetu huyu.
===
 
Is he still inder house arrest? Huyu mtu si alikuwa mtu wa pili wa Kagame? Bora kuwa mtu neutral usitumike na mtu kutesa wenzio!!!!
 
😂😂😂 unamjua david himbara wewe aliyeandika hio habari?Unaleta habari ya 2018 wkt mimi nakwambia hata wiki iliyopita James alikua na PK kwny sherehe ya kuwatunuku maofisa kadeti.

Tumia google yako vzr.
huyu david himbara ni nani?
 
muosha huoshwa. yeye si wa kwanza wala wa mwisho. tumeshuhudia wengi. tena yeye ataoshwa kwa maji ya baridi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…