Mfahamu Jenerali Ulimwengu, a True Pan-African Legend

Ulimwengu li-CCM zoefu lilishoshindwa kufikia ndoto zake za juu baada ya kutumikia ubunge, udc na ujumbe wa kamati kuu hata baada ya mfumo wa mageuzi kuja. Likabaki na hate ya aina yake kwa Mkapa na baadae kwa Magu
Kama hajui tu, Ulimwengu alikuwa mratibu mkuu wa kampeni za CCM za Mkapa mwaka 1995, alitofautiana vikali sana na Mkapa kuanzia 1997 pale Mkapa alipoanza kuwa fisadi na kuuza mashirika ya umma kiholela. Huo ndio wakati ambapo hata Nyerere alimgeuka Mkapa.

Kwenye siasa za ndani za CCM, Jenerali Ulimwengu unaweza kumfananisha kwa kiasi kikubwa na Kinana. Wote ni strategic political planner waliopikwa sana kupitia Jeshini. Ni mafia fulani fulani hivi.
 
Ni mapungufu makubwa sana yasiyo kifani!! kudhania kuwa kwa sababu umeongea na Dikteta mmoja Duniani eti basi una akili sana au umaarufu sana!! NOoo! Duniani humu kuna watu waliongea na Mungu tena Live!! lkn walichapwa km watoto wadogo!!

Yesu Baba lao! aliwaumba akawatengeneza wanadamu wooote! akawalinda!! na bado anawalinda, aka wapenda lkn walimchapa Mijeledi hadharani!! akatemewa mate!! lkn bado wengine hawakumuamini mpaka leo hawaamini yey ni mwana wa Mungu! !

Mtoa bata! akanyimwa Bata!!! ebu fikiria yeye ana kula bata kiasi gani huko aliko?? sasa wewe unatwambia habari za Ulimwengu kuongea tu!!! na babake kiduku umeona ndo bonge la ujiiiiko! huenda hata hapo alibebwa tu! ''nisindikize huku bwana"

Miswahili bana ina mambo ya kishamba mno!!! tena huna akili wewe kabisaaa, au ni mwana kijiji kweli typical! hana issue yeyote mjinga tu yule anatafutwa na USA mpaka kesho!!! kwani Babu yake kiduku alikuwa na upako gani??unamshadadia ivo?
 
Ndugai amepotoka sana.
 
Mkapa huyo,baada ya kuuza nchi kuliko mangungo,ulinwengu akimwandika saana,Akaona amnyang'anye uraia
Tatizo likawa je Jenerali arudishwe wapi? Mambo hayo huleta utata hasa ukichukulia kwamba baada ya kusema ukweli basi unazushiwa zengwe la kutokuwa raia. Yupo Waziri mmoja naye alionja joto hili. Aliambiwa yeye ni Msomali ilhali kazaliwa, kakulia, kasomea hapa hapa na wazazi wake walikuja hapa enzi hizo. Mwandishi mmoja alilazimika kuununua Uhuru/ uraia wake kwa fedha, kosa lake kuandika habari zilizowaudhi wao.
 
Na mkapa mwenyewe alisema 40% ya watu wa upande wa mama yake wanaishi Msumbiji.
 
Usisahau pia kuwa aliwahi kuzushiwa kuwa sio raia wa Tanzania
Kwani ni raia kweli? Kuzaliwa Ngara ni fablication tu. Muulize babu yake aliishi wapi hapa Tanzania kama atakwambia. Halafu mtoa post kuweka baadhi ua kumbukumbu sawa, Ulimwengu alianza na gazeti la Dimba kabla ya mengine. Na Habari Corporation sasa hivi ni mali ya Rostam.
 
Pan Africanism revolution is anchored on continous Political education discourse and Dialogues to fire up the struggle

2021
Semina ya mtandaoni ya 'Mapambano ya ukombozi yanayoendelea ya Waafrika'
26
The Pan Africanists' ongoing liberation struggle' webinar

View: https://m.youtube.com/watch?v=Jcr0o3P2FzoSehemu ya Mfululizo wa "Kubeba Mwenge Mbele uliowashwa Aprili 1959 na mashujaa wa PAC"

A part of the "Carrying Forward The Torch Lit in April 1959 by PAC Martys" Livestream Series
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…