Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

Wap nime generise luther alipinga ushetan wa roma karne ya 15?

Hivi kwann mnakurupuka hivo

Halafu unajifanya uliuliza swali

Mada na comments zangu nimeshajibu humu hadi HUKUMU YA KAHABA MKUU ROMA

YHWH IS GOOD
Hahahahaha unakataa hadi maelezo yako
 
"Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa,,

" Nitawaachieni msaidizi,,,"

Bwana mungu wa mbinguni atusaidie,,,,,,hatujui na hatutaki kujifunza kweli ya mungu mashudu ya kina G White yametufika kooni tunatapatapa na tafsiri zisizo na mashiko,,,,,kweli hatujampokea msaidizi kutusaidia kujua siri za mungu Leo hii tunajazana ujinga

"Tuamke tujifunze kweli ya mungu sawasawa na neno lake tusiangamie kwa upumbavu wetu,,"

"BWANA MUNGU WA MBINGUNI TUHURUMIE"

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Kuna sehemu nimekuomba sadaka?

YHWH IS GOOD
kwani huwa mnasema mnataka sadaka???...kusoma hatujui hata picha nayo hatuoni....easy sana bro baki na imani yako na uongelee imani yako na mimi nabaki na yangu zaidi zaidi niendelee kuikuza sio nianze kuongelea kuwa dini ya fulani ni bora kuliko na fulani..am a Catholic..I 'll remain in Catholic ...I 'll die a Catholic na mbingu nitaiona nikiwa Catholic

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Ungejibu hoja zangu ndo ungekua na ujasiri wa kunambia nkae kimya nachokiona umefika ukomo wa ulichokalilishwa ss unarudia rudia tu maneno yako
Mbona huna hoja zozote

Nimewapa mtihani mdogo

Niambieni KAHABA MKUU ni nani

Na mumuhusishe aya kwa aya ktk UFUNUO 17

Mnaleta lawama na propaganda

Umeona mimi nilivyomweleza KAHABA MKUU KUWA NI KANISA LA ROMA? aya kwa aya na historia inathibitisha hilo

KAWAULIZE HATA MAPADRI WANALIJUA HILO , ila hawawezi kuwaambieni , watakosa pa kula


Kanisa katoliki nchini Malta labariki Ushoga

YHWH IS GOOD
 
anayehidhinisha kitu chochote ni kiongozi wa kanisa katoric ambaye ni papa...sasa hiyo Malta sijakuelewa....yaani hamjawahi kunidanganya kwa maandiko walioandika wahariri ambao bado hata uelewa hawana hujanishawishi broo njoo kwa njia nyingine nasoma na kufuatilia sana kila kinachoendelea ...kawadanganye wasio soma ila kwa sisi wasomi uongezee utafiti

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Mbna nlkuulza toka kwny hoja zako hukunijibu labda nkuulize tena hapa katika ufunuo 17 wanasema zle pembe kumi(wafalme kumi) kulokotokea pembe ndogo ambayo ww waita ndo papa inasema watafanya vita na mwanamke kahaba na kumuacha uchi na kumteketeza kabsa...nkauliza je n lini papa alimshambulia mwanamke kahaba(ambayw kwako n RC) na kumtokomeza? Na inasema hayo mataifa kumi yataungana na mnyama kufanya vita na mwanamke na mwanakondoo...waweza kutaja hayo mataifa kumi pamoja na huyo mnyama waloungana nae kumteketeza huyo mwamamke kahaba(rc kwa mujibu wako ambaye bado yupo pamoja na kuteketezwa)
 
Leta tafsiri yako iliyosahihi kupinga hiyo yangu

Halafu acha KUNUKUU KAMSTARI KAMOJA UNAISHIA NJIANI

SEMA

watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa KWAKUWA WEWE UMEYAKATAA MAARIFA MIMI NAMI NIMEKUKATAA WEWE, USIWE KUHANI KWANGU MIMI,

KWA KUWA UMEISAHAU SHERIA YA MUNGU WAKO,MIMI NAMI NITAWASAHAU WATOTO WAKO

Hosea 4:6


HAMNA MAARIFA MAANA MMEISAHAU SHERIA YA BWANA NA KUFATA MAAGIZO YA MAPAPA

AMRI ZA MUNGU NA SHERIA MMEZIBADILI NA. KUZIONDOA ILI MUABUDU MASANAMU VIZURI NA AMRI YA SABATO MMEIBADILI ILI MUABUDU DOMINIKA VIZURI


Bwana MUNGU asema ATAWASAHAU NA WATOTO WENU

NDIO MAANA SASA HIVI MNAOANA WAUME KWA WAUME
Kanisa katoliki nchini Malta labariki Ushoga
MAANA MMEISAHAU AMRI NA SHERIA ZA BWANA

YHWH IS GOOD
 
Mbingu gani hiyo wanaenda waabudu sanamu?


Au ni mbingu ipi hiyo wanaenda mashoga?

Kanisa katoliki nchini Malta labariki Ushoga

HATA MARTIN LUTHER ALIKUWA MBISHI KAMA WEWE MPAKA PALE ALIPOGUNDUA UOZO 95 AKATOKA NA ALIKUWA PADRI SEMBUSE WEWE?

NA LEO KUNA MAOVU NA MADANGANYO MAELFU NDANI YA KAHABA MKUU (ROMANI CATHOLIC)


Ujumbe wa YULE MALAIKA WA TATU UNASEMA

tokeni kwake enyi watu wangu

TOKENI BABELI

YHWH IS GOOD
 
Mimi nnao uwezo wa kukuelezea huyo mnyama vichwa vyake saba na pembe kumi na nkavitaja kila kichwa hadi huyo mnyama wa pili na kahaba tokea kwny biblia had historia...ukinijibu ntaendelea kukufunulia kimoja baada ya kingine...mm ntatumia maswali tokea kwmy hoja zako kma nlvoanza kukuulza hapo juu utakapojbu tutaendelea..ukikwepa ntakusibr
 
Mbona haueleweki ?

Nukuu aya yote maana unajikanyaga tu



YHWH IS GOOD
 
Nukuu hizo aya kama zilivyo

Maana naona hapo haueleweki na una mix mambo ,

YHWH IS GOOD
 
Labda kwa faida yako tu na wengne iko hvi kanisa katoliki lko centralized na lna vyombo maalum vya kutolea taarifa...siku utakapoona kanisa lmeruhusu ushoga au kuona lnafungsha ushoga tanzania ujue n worldwide namm ntakua wa kwanza kutoka tutapishana mlangon
 
Mbona haueleweki ?

Nukuu aya yote maana unajikanyaga tu



YHWH IS GOOD
Mm nijichanganye tena
Revelation 17:16
[16]And the ten horns which thou sawest upon the beast, these shall hate the whore, and shall make her desolate and naked, and shall eat her flesh, and burn her with fire.
Na zile pembe kumi ulizoziona, na huyo mnyama, hao watamchukia yule kahaba, nao watamfanya kuwa mkiwa na uchi, watamla nyama yake, watamteketeza kabisa kwa moto.
Haya hyo hapo na nyngne zaja tuanzie hapo
 
Ambacho hujakielewa hapo ni kipi?

YHWH IS GOOD
 
Nukuu hizo aya kama zilivyo

Maana naona hapo haueleweki na una mix mambo ,

YHWH IS GOOD
Haya ukimaliza hyo aya ya kuhusu kahaba uje kwny aya hizi unambie n lin hao wafalme kum walfanya vita na mwanakondoo na uwataje hao wafalme kumi wny shaur moja na huyo mnyama waliyeshirikiana nae....ukishindwa nitakusaidia
Revelation 17:12-14,16
[12]And the ten horns which thou sawest are ten kings, which have received no kingdom as yet; but receive power as kings one hour with the beast.
Na zile pembe kumi ulizoziona ni wafalme kumi, ambao hawajapokea ufalme bado, lakini wapokea mamlaka kama wafalme muda wa saa moja pamoja na yule mnyama.
[13]These have one mind, and shall give their power and strength unto the beast.
Hawa wana shauri moja, nao wampa yule mnyama nguvu zao na mamlaka yao.
[14]These shall make war with the Lamb, and the Lamb shall overcome them: for he is Lord of lords, and King of kings: and they that are with him are called, and chosen, and faithful.
Hawa watafanya vita na Mwana-Kondoo, na Mwana Kondoo atawashinda, kwa maana Yeye ni Bwana wa Mabwana, na Mfalme wa Wafalme, na hao walio pamoja naye ndio walioitwa, na wateule, na waaminifu.
[16]And the ten horns which thou sawest upon the beast, these shall hate the whore, and shall make her desolate and naked, and shall eat her flesh, and burn her with fire.
Na zile pembe kumi ulizoziona, na huyo mnyama, hao watamchukia yule kahaba, nao watamfanya kuwa mkiwa na uchi, watamla nyama yake, watamteketeza kabisa kwa moto.
Kumbuka kabla hujakurupuka umeambiwa mstari wa 13 kua hzo pembe kumi hazijapokea mamlaka na zitapokea muda mmoja pamoja na mnyama
 
Najua huwezi kusema lolote kuhusu hoja zangu hapo juu isipokuwa kutoa povu. Eti nawe ni mtakatifu wa sabato na unaamini kuwa utakwenda mbinguni kisa tu eti unasali Jumamosi. Labda mbingu ya ukoo wenu [emoji23][emoji23][emoji23]

Huyo malaya wenu Ellen mgonjwa wa ubongo mwabudu shetani kawakamata kweli kweli aisee. Na mwenye mtindio wa ubongo tena double ni wewe unayefuata maandiko ya kishetani yaliyoandikwa na changu mgonjwa wa akili asiyejielewa. Kazi kweli kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…