Mfahamu kwa mrembo Roza Georgeyevna Shanina, mdunguaji bora kabisa wa Jeshi la Urusi aliyeua watu 54

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Mfahamu kwa picha Bi Roza Georgeyevna Shanina Mdunguaji Bora Kabisa wa Jeshi la Urusi aliyeua watu 54

Hamjamboni wadau

Ni mdada mrembo kabisa kwa muonekano aliyehudumu
kwenye kikosi maalumu cha Wadunguaji (Snipers) wa Jeshi la Kisoviet mwaka 1943


Alikuwa ndiye mdunguaji bora kabisa (one of the best Soviet snipers) akiwa ameua (confirmed kills) watu 54

Alizaliwa tarehe 3 April 1924 na kufariki akiwa na miaka 20 kwa kupigwa risasi vitani tarehe 28 Januari 1945

Alihudumu kwa muda wa miaka 4 kuanzia 1942 hadi 1945 akiwa na cheo Cha Senior Sergeant

Wanawake wanaweza











 
Bila picha 😳 khaaaaa pua pua pua
 
Mnashadadia saanaa ma 'flat-screen'

Cheki hapo chini.

 
Umri wa miaka 20? Mbona anaonekana ni above 30?
 
Auwaye kwa upanga atakufa kwa upanga.Alizidiwa na sniper mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…