U Uzalendo wa Kitanzania JF-Expert Member Joined Mar 8, 2020 Posts 3,585 Reaction score 8,106 Oct 10, 2020 #1 Tutakuwa tunawaletea kwa ufupi taarifa za Madaktari bingwa wa Taasisi mbalimbali nchiniza Tiba tukianza na MOI Attachments FB_IMG_16023009648090617.jpg 22.8 KB · Views: 7
Tutakuwa tunawaletea kwa ufupi taarifa za Madaktari bingwa wa Taasisi mbalimbali nchiniza Tiba tukianza na MOI
Daviie JF-Expert Member Joined May 20, 2016 Posts 1,294 Reaction score 1,480 Dec 6, 2020 #2 Hivi kuna namna yoyote naweza kupata mawasiliano na Neurosurgeon akanipa ushauri wa kitaalamu kabla ya kufika kuonana naye kwasababu nipo mbali na wanapopatikana hawa wataalamu
Hivi kuna namna yoyote naweza kupata mawasiliano na Neurosurgeon akanipa ushauri wa kitaalamu kabla ya kufika kuonana naye kwasababu nipo mbali na wanapopatikana hawa wataalamu
Nkolandoto JF-Expert Member Joined Sep 18, 2016 Posts 4,102 Reaction score 4,028 Dec 6, 2020 #3 Mzee mzoofu pale ni prof kihamba yule mzee ni noma Anyway muda unamtupa mkono awaachie vjn
U Undu JF-Expert Member Joined May 18, 2013 Posts 3,527 Reaction score 1,892 Dec 6, 2020 #4 Mbona wanafanya upasuaji bila ya vipo vya neurophysician? hii si sawa kitaaluma.