Mfahamu kwa ufupi marehemu Sir Andy Chande

Vizuri,nani alichukua nafasi take pale Freemasons?
 
Hahahaha, moja ya wazee niliwahi kukaa nao pale Kwake O"bay na kupiga story ,kunywa cofee, kunipa na kunisainia kitabu chake hiki ,kupiga selfie na kisha kukaribishwa pale Masonic lodge kujionea
Hahah daah mzee kumbe we mtu mzito aisee,itabidi nkutafute nipate connections aisee hahah.
 
Huyu mzee ndiye aliyebinafsisha viwanda enzi za awamu ya tatu kama mshauri kazi kweli kweli.
Sababu hakuamini pumziko la milele wala maisha baada ya kifo, kama Freemasons wanavyoamini, siwezi kusema RIP
Na kusema hivyo ni kumpangia Mungu

Kwahiyo uko sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…