Nitag akijibuKwanini huwa wanaacha majina Yao na kuchagua mengine!!
kuzaliwa upya na kuanza majukumu mapya ya kitume, pia desturi za Mapokeo ya kanisa, halafu ukibadili jina lako ka hutaki kuwa maarufu personally inaondoa ego ile ya ubinafsi!! Ni mtazamo tuKwanini huwa wanaacha majina Yao na kuchagua mengine!!
Kubadilisha jina ni kitendo cha kuonesha ya kuwa umezaliwa upya na upo tayari kuyakabili majukumu ya kuliongoza kanisa. Na pia desturi hii imechochewa na kile kitendo cha Yesu kumbadilisha jina Simoni na kuwa Petro (ambaye waumini wa RC ndo wanaamini ya kuwa ndo mwanzilishi wa kanisa).Kwanini huwa wanaacha majina Yao na kuchagua mengine!!