Kuua Simba Dume wawili kwa nyakati tofauti na baadae kuattempt kuua Simba wa tatu sio jambo DogoSijaona hayo maajabu yake kabisa, yote uliyoongea ni ya kawaida na ambayo tumeyasikia huwa wanafanya hao wamasai.
Achana na paka mimi nimeuwa cobra, ni mdudu gani hatari zaidi ya huyu shetani wewe?Kuua Simba Dume wawili kwa nyakati tofauti na baadae kuattempt kuua Simba wa tatu sio jambo Dogo
Labda nikuulize, Umewahi kumuua Paka wa nyumbani baada ya kukutana nae face to face?
Acha ujuaji huyo siyo mnyama mzee!Cobra si Mdudu
Ila Hongera sana