Godwin Tairo
New Member
- Jul 14, 2021
- 3
- 8
Huyu ni mmoja kati ya watu wachache wenye uwezo mkubwa kuwahi kutokea duniani.
Kazaliwa 15April 1452 na kufariki 2May 1519. Huyu jamaa hakuwahi kanyaga shule ila alijaliwa kila aina ya kipaji
Music, Uchoraji, Fasihi, Uhandisi, Geology, Mathematics, Astronomy, Botany, History, Cartography. The list is going on......
Ndio mtu aliechora picha maarufu sana duniani ya MONALISA.
Na umaarufu wake ulizidi kua mkubwa ya kuibiwa mwaka 1911 ndie aliechora picha maarufu ya yesu Ile the last super lakini pia Davinci kagundua mambo mengi mno na mengine yanaendelea kuvumbuliwa kupitia maandishi yake japo kaishi mamia ya miaka iliopita lakini alikua anachora michoro ya vitu vilivyotengenezwa saivi.
Baadhi ya vitu alivyogundua na kazi yake ni Helicopter, Parachute, Mkasi, Vifaru na magari ya jeshi kaingiza mafumo wa bouble entry system kwenye bookkeeping. Kachora mfumo ya mishipa na mifupa. Geometry kafumbua optical instruments za barabarani Na mifumo ya mabomba ya maji.