wale watangazaji aidha walikua wanapotosha au hawajui mfumo wa taaluma hii lakini huenda tatizo linakuzwa mahala pengine na kuambukiza kwa hiyo nimeliweka kibegaNilijua ameshamaliza Na ni daktari kamili kumbe bado mwanafunzi...!!! Kila la Heri kwake.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Dokta anashuka daraja,ingebidi na dokta ahamishiwe tandabui akapige diploma in clinical medicine.
Medicine kwani ni kitu gani mzee? Stephen Hawkings unamjua? Ubongo wake umepata tatizo 99% na anatumia 99% ya 1% ilobakia lkn ndio mwana sayansi prof wa hesabu pekee & cosmology na amekalia dawati ya Isaack Newton pale Havard.Very interesting, anamudu medicine na kuchezea coastal union.
kama nani?Kumbe mwaka wa pili chuo ndio 'msomi'? Hakuna wachezaji wengine wanaosoma chuo au?
NAJIULIZA SANA maana ni kikosi cha kwanza halafu timu ipo Tanga
Wataje tuoneKumbe mwaka wa pili chuo ndio 'msomi'? Hakuna wachezaji wengine wanaosoma chuo au?