Mfahamu Mfalme Leopard aliyetawala Congo na maasi aliyowafanyia Waafrika

Hawataki kusoma wala kufanya kazi wengi wanaishi kwa benefit eti wanafidia mali walizoibiwa.
 
Mfalme Leopard II aliitajirisha Belgium kwa utajiri wa Kongo, aliacha watoto vijana na wanaume wakiwa vilema kama si kuwaua. He was ruthless
Kila mtawala ruthless kwani waliotwambia hawatatuangusha saa hizi hataki hata tuwaambie tunahitaji nini
 
Inaelekea adui wa Mwafrika ni sisi wenyewe. Mbona kama hizo adhabu tulikuwa tunazitekeleza kwa wenzetu?? Yaani mswahili alitumika kumtesa mswahili mwenzie.
 
Inaelekea adui wa Mwafrika ni sisi wenyewe. Mbona kama hizo adhabu tulikuwa tunazitekeleza kwa wenzetu?? Yaani mswahili alitumika kumtesa mswahili mwenzie.
Na yeye
1. Alipoteza kibarua asipoteleleza
2. Alionekana superior kwa wenzake
 
Makalio anatumia mama yako kufikir, Ukinitukana nitakutukana bila kujali lolote! Jibu hoja kwani lazima utukane. Mkiru haipo? Issuwe ya Lisu haipo? Jibu hoja
Wewe ni ndezi
 
Mimi hua najiuliza, hivi wazungu na waarabu waliotuhubiria dini ndiyo hawa waliokua wanatuswaga kama ng'ombe au walikua aina mbili?? Yaani waliotutesa na waliotuhubiria dini.
 
Mimi hua najiuliza, hivi wazungu na waarabu waliotuhubiria dini ndiyo hawa waliokua wanatuswaga kama ng'ombe au walikua aina mbili?? Yaani waliotutesa na waliotuhubiria dini.
Mkuu hii dini hii, Injili ya Paul inasema ni dhambi mtumwa kukaidi amri ya bwana wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…