Mfahamu Millard Ayo

Kwa hiyo ni msela/mhuni mwenzetu hajawowa mpaka sasa
 
Ila kuanzisha kituo kiwe cha redio/TV ni shughuli kwanza kuwafanya watu waache redio/TV fulani Harafu wawe wafuasi wako ni kazi hivyo hadi ajipange sana.

Anaweza vizuri kabisa kupitia mitandao anawafuasi wengi sana ni udhubutu tu na mikakati mizuri ndo inahitajika ukikaa ukisema unasubiri kujipanga subra itakuvuta haswa.

Sanjari na hayo kijana anatumia mbinu inaitwa (BLUE OCEON STRATEGY)kwani yeye ndo kinara kwenye mitandao ya kijamii na soko hilo halina ushindani mkubwa hivyo analimudu vizuri sana.

Akisema atumie (RED OCEON STRATEGY ) mfano kufungua chaneli yake mwenyew itabidi ajipange kushindana na manguli wa tathnia hiyo kama (ITV na TBC) ambayo sio rahisi.
 
Hapo inampasa aendelee kuwapeleka huko huko kwenye mitandao ya kijamii ili ashindane na akina Global publishers.
Ila akisema afungue kituo chake anaweza kupoteana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…