Abarikiwe sana mwananguMfahamu Theddy Ladislaus, aliyekuwa Mshauri wa Raisi wa Zambia kwenye Mawasiliani ya Kimkakati lakini kafanya kazi kwenye chaguzi za Ufilipino(2015), Nigeria (2015), Serikali ya Ghana (kipindi cha Raisi John Mahama), Marekani (Ted Cruz), Dominican Republic na hata chaguzi za CCM Zanzibar.
Theddy Ladislaus alikuwa mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba akiwakilisha wanachuo kipindi hicho alivyokuwa Makamu wa Raisi wa serikali ya wanafunzi Chuo Kikuu cha Mzumbe.
Kwa elimu, ana Masters (MBA) in International Business and Entrepreneurship na Degree ya ICT with Business.
Pia amesoma chuo cha Diplomasia nchini Zambia mwaka 2017.
Teddy ni Kiongozi kijana, mwenye utulivu, nidhamu, mwanamikakati mahiri (strategist) mwenye uwezo mkubwa na mwanadiplomasia wa kweli ambaye atatuwakilisha vema sana kwenye Bunge la Afrika Mashariki hasa ikiwa tunamhitaji kwa nyakati za sasa zenye ushindani wa Diplomasia ya uchumi.
Hivi paskali ametusuaWeka picha ambayo itaonesha mpaka vidole vya mkono wa kushoto.
Haya tumemfahamu sasaMfahamu Theddy Ladislaus, aliyekuwa Mshauri wa Raisi wa Zambia kwenye Mawasiliani ya Kimkakati lakini kafanya kazi kwenye chaguzi za Ufilipino(2015), Nigeria (2015), Serikali ya Ghana (kipindi cha Raisi John Mahama), Marekani (Ted Cruz), Dominican Republic na hata chaguzi za CCM Zanzibar.
Theddy Ladislaus alikuwa mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba akiwakilisha wanachuo kipindi hicho alivyokuwa Makamu wa Raisi wa serikali ya wanafunzi Chuo Kikuu cha Mzumbe.
Kwa elimu, ana Masters (MBA) in International Business and Entrepreneurship na Degree ya ICT with Business.
Pia amesoma chuo cha Diplomasia nchini Zambia mwaka 2017.
Teddy ni Kiongozi kijana, mwenye utulivu, nidhamu, mwanamikakati mahiri (strategist) mwenye uwezo mkubwa na mwanadiplomasia wa kweli ambaye atatuwakilisha vema sana kwenye Bunge la Afrika Mashariki hasa ikiwa tunamhitaji kwa nyakati za sasa zenye ushindani wa Diplomasia ya uchumi.
TukabetHaya tumemfahamu sasa
Nafasi za EALA zina watu wake ngumu kutoboa.Hivi paskali ametusua
Ova
Hahahah ninavyowafahamu wahuni wa chama changu lazima wapite kimasihara kwanza.Tukabet
Wanaweka kando kwanza akili zao wanatumia za CCMHahahah ninavyowafahamu wahuni wa chama changu lazima wapite kimasihara kwanza.
Inawezekana akawa ni asset lakini tuliowapeleka kutuwakilisha kufanya maamuzi wanaweza wasiwe asset.....
Kabisa. Strategist gani anavaa nguo za kijani?! Mganga njaa tu kama akina johnthebaptist and the rest Lumumba FC🤣🤣Ni mchumia tumbo kama walivyo kijani wenzake
CCM hwikuwahi kuwa na nia ama lengo baya kwa nchi yetu.Wanaweka kando kwanza akili zao wanatumia za CCM
Kala ngumi za chembe,CCM ina wenyewe!Hivi paskali ametusua
Ova
Kumbe kampeni?Mfahamu Theddy Ladislaus, aliyekuwa Mshauri wa Raisi wa Zambia kwenye Mawasiliani ya Kimkakati lakini kafanya kazi kwenye chaguzi za Ufilipino(2015), Nigeria (2015), Serikali ya Ghana (kipindi cha Raisi John Mahama), Marekani (Ted Cruz), Dominican Republic na hata chaguzi za CCM Zanzibar.
Theddy Ladislaus alikuwa mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba akiwakilisha wanachuo kipindi hicho alivyokuwa Makamu wa Raisi wa serikali ya wanafunzi Chuo Kikuu cha Mzumbe.
Kwa elimu, ana Masters (MBA) in International Business and Entrepreneurship na Degree ya ICT with Business.
Pia amesoma chuo cha Diplomasia nchini Zambia mwaka 2017.
Teddy ni Kiongozi kijana, mwenye utulivu, nidhamu, mwanamikakati mahiri (strategist) mwenye uwezo mkubwa na mwanadiplomasia wa kweli ambaye atatuwakilisha vema sana kwenye Bunge la Afrika Mashariki hasa ikiwa tunamhitaji kwa nyakati za sasa zenye ushindani wa Diplomasia ya uchumi.
Kweli??CCM hwikuwahi kuwa na nia ama lengo baya kwa nchi yetu.
Tatizo ni akili za watu ambazo zinatumika badala ya CCM
Nina kadi hai ya CCMKweli??
MUNGU awabariki akili ziwarudieNina kadi hai ya CCM
Ninachokisema ni kweli. Tumekabidhi chama kwa wahuni
Mungu awabariki waondoke wakiache chamaMUNGU awabariki akili ziwarudie
Aaggh wapi, sioni dalili paleMungu awabariki waondoke wakiache chama