Huyu naye alikua inner circle ya President Lungu hapo 🇿🇲, udikiteta ulitamalaki mno,rushwa za ajabu,uchumi wa ovyo etc etc,angalia now President H&H ,Zambia inapendeza, demokrasia imetamalaki na rushwa almost zero kama Botswana, ZWK imekua the best currency against usd ni hii imesababisha bidhaa kushuka bei in Zambia 🇿🇲, huyu akipita as usual ataiwakilisha ccm sio nchi, yaani hawa politicians wetu wamekua so corrupt, wao uaminifu wao upo kwa chama Chao sio wananchi.Mfahamu Theddy Ladislaus, aliyekuwa Mshauri wa Raisi wa Zambia kwenye Mawasiliani ya Kimkakati lakini kafanya kazi kwenye chaguzi za Ufilipino(2015), Nigeria (2015), Serikali ya Ghana (kipindi cha Raisi John Mahama), Marekani (Ted Cruz), Dominican Republic na hata chaguzi za CCM Zanzibar.
Theddy Ladislaus alikuwa mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba akiwakilisha wanachuo kipindi hicho alivyokuwa Makamu wa Raisi wa serikali ya wanafunzi Chuo Kikuu cha Mzumbe.
Kwa elimu, ana Masters (MBA) in International Business and Entrepreneurship na Degree ya ICT with Business.
Pia amesoma chuo cha Diplomasia nchini Zambia mwaka 2017.
Teddy ni Kiongozi kijana, mwenye utulivu, nidhamu, mwanamikakati mahiri (strategist) mwenye uwezo mkubwa na mwanadiplomasia wa kweli ambaye atatuwakilisha vema sana kwenye Bunge la Afrika Mashariki hasa ikiwa tunamhitaji kwa nyakati za sasa zenye ushindani wa Diplomasia ya uchumi.
Hayo yote ni useless kama kavaa nguo za kijani. Kwa kifupi atakua useless citizen kama tulivyo waona akina kabudi, mwakyembe nk nk.Mfahamu Theddy Ladislaus, aliyekuwa Mshauri wa Raisi wa Zambia kwenye Mawasiliani ya Kimkakati lakini kafanya kazi kwenye chaguzi za Ufilipino(2015), Nigeria (2015), Serikali ya Ghana (kipindi cha Raisi John Mahama), Marekani (Ted Cruz), Dominican Republic na hata chaguzi za CCM Zanzibar.
Theddy Ladislaus alikuwa mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba akiwakilisha wanachuo kipindi hicho alivyokuwa Makamu wa Raisi wa serikali ya wanafunzi Chuo Kikuu cha Mzumbe.
Kwa elimu, ana Masters (MBA) in International Business and Entrepreneurship na Degree ya ICT with Business.
Pia amesoma chuo cha Diplomasia nchini Zambia mwaka 2017.
Teddy ni Kiongozi kijana, mwenye utulivu, nidhamu, mwanamikakati mahiri (strategist) mwenye uwezo mkubwa na mwanadiplomasia wa kweli ambaye atatuwakilisha vema sana kwenye Bunge la Afrika Mashariki hasa ikiwa tunamhitaji kwa nyakati za sasa zenye ushindani wa Diplomasia ya uchumi.
Nilipoona kavaa nguo za kijani nikajua hamna kitu mule.Kabisa. Strategist gani anavaa nguo za kijani?! Mganga njaa tu kama akina johnthebaptist and the rest Lumumba FC[emoji1787][emoji1787]
Watumishi wa Mungu wameshasema wazi kuwa kama.hakuna mabadiliko basi 2023 na 2024 kazi wanayoAaggh wapi, sioni dalili pale
Dah afadhali aiseeeeWatumishi wa Mungu wameshasema wazi kuwa kama.hakuna mabadiliko basi 2023 na 2024 kazi wanayo
Kabisa.... 🤣🤣🤣🤣Nilipoona kavaa nguo za kijani nikajua hamna kitu mule.
Masikini anasumbuliwa na nini, mbona ni kijana hivyo! Aliingia CCM ili apate uteuzi bila jasho.Mfahamu Theddy Ladislaus, aliyekuwa Mshauri wa Raisi wa Zambia kwenye Mawasiliani ya Kimkakati lakini kafanya kazi kwenye chaguzi za Ufilipino(2015), Nigeria (2015), Serikali ya Ghana (kipindi cha Raisi John Mahama), Marekani (Ted Cruz), Dominican Republic na hata chaguzi za CCM Zanzibar.