Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,575
- 25,619
Mnamo mwaka 1982, mtu mmoja kwa jina la Michael Fagan, alifanikiwa kuingia kwenyekasri ya Malkia, Queen Elizabeth baada yakuvunja dirisha na kuingia chumbani humo.
Michael Fagan
Mtu huyo, aliingia ndani na kumpata Malkiahuyo amevalia nguo ya kulalia, akaketi kitandani kwa Malkia huyo na wakafanya maongezi kwa dakika kumi!
Baadaye malkia alifanikiwa kupiga king'ora namtu huyo kukamatwa. Siku ya Jumatano 18 May 2016 kisa kamahicho kilijirudia bada ya mtu mmoja mwenye umri wa miaka 41 kuvuka ua la kasri hilo na kuingia ndani ya makao ya kifalme.
Ripoti zinasema kuwa Malkia huyo, alikuwa ndani ya Kasri hilo. Hata hivyo, hakufanikiwa kuingia ndani yakasri hilo na aliweza kukamatwa dakika saba baada ya king'ora kulia.
Mshukiwa huyo, hakuwa na silaha yoyote na sasa yupo kizuizini kwa kosa la kuingia eneo linalolindwa.