Mfahamu mtu mti (tree man)

Echazzy

Member
Joined
Jan 20, 2018
Posts
65
Reaction score
67
TREE MAN (Binadamu mti)

Dede Koswara ni mzaliwa wa Indonesia ni binadamu aliyezaliwa na tatizo la ugonjwa unaosababishwa na fangasi unaojulikana kama Epidermodysplasia verruciformis.

[emoji117]Hali hii ilimfanya ajulikane zaidi kama "Binadamu mti" Tatizo hili huambatana na kukua kwa fangasi hasa sehemu za mikono na miguu ambao huchomoza na kusambaa mfano wa matawi ya mti. Mwaka 2008 alipatiwa matibabu nchini Marekani lakini tatizo lilijirudia tena Mpaka sasa hakuna tiba ya kudumu ya tatizo hili

[emoji117]Alifariki 30 january 2016 baada ya kushindwa kufanya kazi kwa viungo vyake muhimu vya mwili (Multiple organ dysfunction syndrome).

 
Duniani kuna maajabu ambayo hayafikiriki kabisa
 
hapa anayebaki na wewe ni mama tu, hata mke anakukimbia.
Nakunukuu: "hapa anayebaki na wewe ni mama tu, hata mke anakukimbia" Kweli kabisa, tena kwa kuongezea ni kwamba hata baba anasepa.

Ndiyo maana niliwahi kupost humu kuwa dunia hii imekuwa shaped na mwanamke, dunia inaendeshwa na mawazo ya kike, wanadamu wote kwa asili ni wanawake kwa 90% kwa kufikiri kwao. Dunia iwe imekwama au imefanikiwa ni kwasababu ya mwanamke.
 
Kwa huku wangemaliza waganga. Ukoo ungeshakosana kila mganga anamtaja ndugu mmojawapo kwa kumroga.
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…