Mfahamu ‘Muno’ msanii mchanga aliefanikiwa kumdatisha rude boy wa p square kuja Tanzania

Mfahamu ‘Muno’ msanii mchanga aliefanikiwa kumdatisha rude boy wa p square kuja Tanzania

pantheraleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
692
Reaction score
880
Oviemuno oriero A.K.A Muno ni Msanii na Mwandishi kutoka Nigeria Ambaye mwaka huu 2021 December Amepanga kufanya Media Tour yake Afrika Mashariki ikiwemo Tanzania ,Media Tour yake itaambaatana na listening party Pamoja na Matukio mbalimbali.

Muno tayari Amesharekodi ngoma kibao Lakini pia amesha wahi kuwa chini ya label nyingi nchini Nigeria ikiwemo Lebo ya msanii Rude boy wa P Square inaitwa “Rude Boy Records”,

Wakati yupo Rude Boy Records, aliweza kuachia ngoma kama “Never regret” na baadae kushirikishwa kwenye ngoma ya “slow slow” ya Rude boy,
kwasasa Muno yupo chini ya Management ya Champion on entertainment LTD , ambapo ametoa Ep yake mpya inaitwa 4+1 ambayo iliachiwa September 17 mwaka huu 2021.

Safari ya muziki ya Muno ilianza toka akiwa na umri wa miaka 10 na kusema kuwa>>> ‘Nilianza kuomba dhuru na ujanja ujanja ili nitoke nyumbani na binamu zangu twende kwenye matamasha ili nikaimbe, na tulianzisha kundi na tukawa tuna perform kwenye matukio mbalimbali’ .

Alisema MUNO.
IMG_20211105_180820_979.jpg
IMG_20211105_180818_750.jpg
IMG_20211105_180816_825.jpg
IMG_20211105_180814_829.jpg
IMG_20211105_180812_278.jpg
IMG_20211105_180810_524.jpg
 
Back
Top Bottom