Mfahamu Mzee Mwinyi: Mtanzania wa Kwanza Kuwa Rais Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Loliondo saga ilianzia hapa vs chavda vs utoroshwaji wa madini na bi sity by then
 
Mbona Taarabu nyingi we mtu wa pwani?!
 
umefukua makaburi mengi ila shukrani sana kwa taarifa hizi.Kuna kashfa moja nadhani utawala wa Mkapa ila ya milioni900 za minofu ya samaki
 
Mzee na bahati zake. Hongera kwake naona Mwinyi Junior anapita njia za baba yake.
 
JF kisima Cha maarifa.
 
Habari imenivutia sana umejua kuchanganya lugha na mvuto wa kipekee umejidhihirisha ,japo sijaweza kumaliza kusoma yote ila nitaendelea nayo. Asante sana
 
Duh kwamba tokea amezaliwa hajawahi kukopa japo serikali yake ilikopa, man he is favoured kweli ana kismati.
 
Watoto wa mwinyi ninaowafaham
1. Hassan A Hassan Mwinyi Magandi huyu kafariki mwaka jana tu
2. Fatuma A Hassan M M huyu ni daktari mkubwa tu
3. Hussein A Hassan M M rais wa 8 wa Zanzibar
4. Muhammed A Hassan M M huyu ni katibu wa rais mstaafu, Mikochen Dsm (maarufu EDi)
5. Abdullah A Hassan M M, huyu ni mbunge kule zanzibar
Hao watano nawajua wa bibi siti mwinyi, mama la mama!

6. Asma Alli Hassan M M, huyu ni Mkurugenzi wa taasisi ya kiraia inaitwa asma mwinyi foundation (aMF). Huyu ni mtoto wa mama Khadija
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…