Mfahamu Ole Gunnar Solkjaer kocha anaetunyima usingizi mashabiki wa Manchester United

Makosa afanye maguire lawama kwa ole!
mkishinda sifa kwa ronaldo na bruno.
viungo wenyewe wamechoka mbaya njooni emirates tuwape ata niles kwa mkopo.
#COYG
 
Zamani vitimu kama Arsenane tulikuwa hatuvifikirii kabisa maana ilikuwa bandika bandua tunajipigia tu hata tupange mabeki 8 tunashinda,lkn eti tangu aingie aterta hatujawahi wafunga arsenane nina hasira sana na ole[emoji34][emoji34]
 
Hili pia mimi linaniumiza moyo sana
 
Zamani vitimu kama Arsenane tulikuwa hatuvifikirii kabisa maana ilikuwa bandika bandua tunajipigia tu hata tupange mabeki 8 tunashinda,lkn eti tangu aingie aterta hatujawahi wafunga arsenane nina hasira sana na ole[emoji34][emoji34]
Zamani lini?
 
Man united ni wabovu ila wabishi kukubali iangalie kama beki yao kulia na za kati hovyo kabisa
 
Ole alikuwa moja ya super sub Kali kuwahi tokea pale United .

Yaani akiingia tu hesabu ana goli[emoji2]

Wamwache ole wetu

#KTBFFH[emoji1787]
 
Sawa alikuwa na matarajio nae makubwa sababu anaijua philosophy ya United lkn ka prove felia
Piers Morgan aliwahi kutweet 'Moyes is sacked for losing the dressroom which he never found'

Juzi katweet 'Moyes should have been given time'

Gary Neville akawa wa kwanza kutuonyesha unafiki wa Morgan. Kwanini kwa Rio tujifiche?
 
Siyo tangu aingie Arteta kumbuka vizuri.

Lini united mlichezesha mabeki 8?
Wakati wa Sir Alex tuliwafunga arsenane kwenye Carring cup siku hiz Carrabao cup 2:0 tukiwa na mabeki 8
 
Piers Morgan aliwahi kutweet 'Moyes is sacked for losing the dressroom which he never found'

Juzi katweet 'Moyes should have been given time'

Gary Neville akawa wa kwanza kutuonyesha unafiki wa Morgan. Kwanini kwa Rio tujifiche?
Gary Neville ni takataka kama takataka zingine
 
Ole alikuwa moja ya super sub Kali kuwahi tokea pale United .

Yaani akiingia tu hesabu ana goli[emoji2]

Wamwache ole wetu

#KTBFFH[emoji1787]
Kumuacha hapana kapewa mda mzuri sana lakini yeye anafanya ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…