Mfahamu Ole Gunnar Solkjaer kocha anaetunyima usingizi mashabiki wa Manchester United

Nyinyi mmepitwa na wakat na uo ndio ukwel kwa soka la sasa ata aitwe ferguson mtapokea kichapo tu

Kwanza enz za ferguson mmebebwa sn

Ebu ichek man city wanavyocheza kila mtu ni kiungo kulingana na situation foden upo tyr kwrnda namba 8 km gundogan ataenda mabek wa winga ni mabek viungo na washambuliaji huko mbele kila winga ni mshambuliaji kylingana na shambuliz

Inaitwa free form nyiny mnaijua io akija guadiola apo united atafukuza wrng sn
 
Umeandika mimavi mkuu
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,kumbuka alikuwa anaingia kipindi cha pili utalinganisha vipi na kina Ronaldo waliokuwa wakianza kila mechi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…