Mfahamu Rais Mstaafu Joyce Banda

Bas we ni mkuu wa mkoa kilaza kama hata hujui kuandika Abduli unaandika Abduri
 
Marekani mwakani Raisi mwanamke anapewa nchi na wapiga kura,mama mitano tena.
 
Joyce Hilda Banda, alizaliwa 1950. Huyu alikua Rais wa Malawi (April 2012-May 2014) msomi haswa alifurushwa kupitia sanduku la kura za Wananchi.


Alianzisha kiroja cha kusema Eti ziwa Nyasa lote ni sehemu ya nchi yao?

angefanikiwa sasa hivi ndugu zetu Wangoni, wanyasa, wamatengo n.k wangekuwa sio waTZ bali wamalawi 🤣🤣🤣
 
Alianzisha kiroja cha kusema Eti ziwa Nyasa lote ni sehemu ya nchi yao?

angefanikiwa sasa hivi ndugu zetu Wangoni, wanyasa, wamatengo n.k wangekuwa sio waTZ bali wamalawi 🤣🤣🤣
Kilichomponza ni kinyume chake! Kilichomponza ilikuwa kutaka kukubali kuwa Ziwa Nyasa mpaka uwe katikati kama Tanzania ilivyotaka wakamwona kama anataka kuuza ziwa kwa Watanganyika ndipo walipomfurusha!
 
Huyu bi Banda alikaa madarakani kwa miaka 2 ,baada ya kifo cha Mbingu wa Mutharika nadhani.Hakutulia,alitaka kujimilikisha kipande cha ziwa au nchi ya Tanzania
 
Aisee mbona kama kuna kitu unataka kusema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…