warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Huyu dada anafanya poa sana na single yake mpya ya "Na yule ". Ni mmoja kati ya zao kutoka nyumba ya vipaji, Tanzania house of Talent, huu wimbo wake mpya ni shidaa.
Ana sauti nzuri, pia mashairi yake yamekamilika, single yake ni moja kati ya nyimbo za mapenzi zinazosumbua kwa sasa kila kona ya redio, another threat kwa wakongwe, big up Ruby.
Salute pia kwa Barnaba kwa kuandika kazi nzuri.