Mfahamu Rubby, zao jipya la "THT "

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Huyu dada anafanya poa sana na single yake mpya ya "Na yule ". Ni mmoja kati ya zao kutoka nyumba ya vipaji, Tanzania house of Talent, huu wimbo wake mpya ni shidaa.

Ana sauti nzuri, pia mashairi yake yamekamilika, single yake ni moja kati ya nyimbo za mapenzi zinazosumbua kwa sasa kila kona ya redio, another threat kwa wakongwe, big up Ruby.

Salute pia kwa Barnaba kwa kuandika kazi nzuri.
 
"Aa Aaah kuna muda namuomba Mungu angekuleta mapema a Aaaaaah. Ila bado sio mbaya, wewe ndo unayejua maumivu yangu".
Kwa kweli her voice is captivating. Kuna siku walikuwa wanafanya promo ya show ya Christian Bella clouds fm, basi wakawa wanatupa vionjo na Bella mmmmh, anajua in short. Kila la kheri kwake
 
Kweli bint yuko vizuri sana.Ila mimi namkubali zaidi yule mwezie Hadija aliyeimba "maumivu niacheee".
Sasa ana huo wimbo wake mwingine anasema...
"Si ulisema mwenyewe nisipige simu wala kutuma message,
Tena ukasema hutaki kuniona unaweza toa machozi,
Tukigombana tunaelewana na mwishowe tunapuuzia..
Hili limekaa halifaiii kunyamaziwa!"
Eeh bwana naupenda huu wimbo hadi basi.Kama Hadija unapita hapa kaa ukijua nifah anakupenda sana.
 
Last edited by a moderator:

Sorry warumi cjui ni mm ndo namchanganya rubby?????? Kuna wakati kuna shindano liliendeshwa na kina dj fety la kusaka vipaj cjui lilikuwa linaitwa divas"ki2 ka hcho, bas mi mpk leo najua rubby ndo katokea hko km mshindi!!!
 
Yuko poa kwa kweli, ngoja tumsikilizie ataendeleaje uko mbele
 
Ahahah, naipata hyo, ina maneno ya ajabu, pia ana sauti ya kudeka basi anavyoimba kwa kulalamika mhh!! Mahaba haya raha kweli kuyasikia kwenye nyimbo ila kiuhalisia ni shdiaaa
 
Last edited by a moderator:
Sorry warumi cjui ni mm ndo namchanganya rubby?????? Kuna wakati kuna shindano liliendeshwa na kina dj fety la kusaka vipaj cjui lilikuwa linaitwa divas"ki2 ka hcho, bas mi mpk leo najua rubby ndo katokea hko km mshindi!!!

Sikufuatilia sana story yake, ila najua alitokea tht, pia inawezekana
 
Halafu naona clouds fm tu ndio wanapiga wimbo wake, vituo vingine sijasikia yani mara chache sana kusikia radio nyingine wakiupiga wimbo wa ruby, au ndo wana mabeef hadi na wasanii wa clouds
 
Last edited by a moderator:
Ahahah, naipata hyo, ina maneno ya ajabu, pia ana sauti ya kudeka basi anavyoimba kwa kulalamika mhh!! Mahaba haya raha kweli kuyasikia kwenye nyimbo ila kiuhalisia ni shdiaaa

Acha kabisaaaa.Hadija kaua bwana.
Mhhhh binamu mbona umeongea as if una kitu rohoni? Wifi alishakupa jakamoyo nini?...lol
 
Halafu naona clouds fm tu ndio wanapiga wimbo wake, vituo vingine sijasikia yani mara chache sana kusikia radio nyingine wakiupiga wimbo wa ruby, au ndo wana mabeef hadi na wasanii wa clouds

Binamu mimi sitaki kukudanganya sio msikilizaji mzuri wa redio kabisa.Naonaga taabu sana labda itokee tena mara chache sana hasa usiku wakati nataka kulala.
 
Binamu mimi sitaki kukudanganya sio msikilizaji mzuri wa redio kabisa.Naonaga taabu sana labda itokee tena mara chache sana hasa usiku wakati nataka kulala.

Ata mimi pia, sana sana insta tu, maana habar zote nazipta uko, siku izi ni wachache sana wanaosikiliza radio, insta imefanya yake kila kitu kipo kule
 
Acha kabisaaaa.Hadija kaua bwana.
Mhhhh binamu mbona umeongea as if una kitu rohoni? Wifi alishakupa jakamoyo nini?...lol

Ahahahh ahahh acha tu akina rubby watufariji na danganya toto yao, haha
 
Sorry warumi cjui ni mm ndo namchanganya rubby?????? Kuna wakati kuna shindano liliendeshwa na kina dj fety la kusaka vipaj cjui lilikuwa linaitwa divas"ki2 ka hcho, bas mi mpk leo najua rubby ndo katokea hko km mshindi!!!

Yah ndio huyo huyo ruby alishinda super nyota diva mwaka Jana
 
Ruby ni msanii safi kabisa kuwepo hapa TZ sauti yake inaelekea kwa kina Beyonce ...ila nina wasiwasi na alipotokea coz Ruge uwapandisha then wakihitilafiana huwashusha achilia mbali kuwa do( mana hufanyika sirini).. mi ni shabiki wake sana namwombea afike mbali
 
Wasanii wakifikia level ya kujiamini kama jide watafika mbali, viinginevyo watatumiwa na kushushwa
 
niite jina langu beibii....huwenda nafsi yangu ikapoaa
 
He mi nilijua anatokana na Rubby studio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…