Sijui mzee wangu atasemaje kuhusu ilo. Tuwemakin nahawa tunaowateteaWalioshiriki uamuzi wa kuuza Nyumba za serikal na kupanga bei ya nyumba hizo ndio walikuwa wanunuzi wakuu wa nyumba hizo na zingine kugawa kwa 'wanaowapenda'
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakubeti,Sijui mzee wangu atasemaje kuhusu ilo. Tuwemakin nahawa tunaowatetea
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa hata kama unasema kosa lake ni kwasababu ya conflict of interest kwa kushiriki kubinafsisha zao la mkonge kwa kampuni ya Katani Ltd, yeye akiwa mmoja wa wamiliki wa kampuni hiyo swali ni je kubinafsisha huko kwa hizo assets alifanya yeye peke yake ? Kama hakufanya peke yeke hao wengine walioshiriki katika zoezi hilo wako wapi? Salum Shamte asingeweza kujibinafsishia hizo mali bila ridhaa ya PSRC na ofisi ya Waziri Mkuu ambao ndio walikuwa waratibu wakuu wa zoezi zima la ubinafsishaji!!! Hawa wengine mbona hawakufikishwa mahakamani? Somebody has Salum's blood in his hands!!
Bagamoyo,RIP Mzee Salum Shamte, kwa hii obituary yake Salum Shamte RIP, sina budi kumshukuru mzee Mohamed Said umeifanyia haki Jamii ya wanaJamiiForums kuona kazi iliyotukuka na weledi wa mwendazake Mzee Salum Shamte.
Apumzike kwa amaniRIP Mzee Salum Shamte, kwa hii obituary yake Salum Shamte RIP, sina budi kumshukuru mzee Mohamed Said umeifanyia haki Jamii ya wanaJamiiForums kuona kazi iliyotukuka na weledi wa mwendazake Mzee Salum Shamte.
Swali: Yapo au hayapo?Haya mambo ya utakatishaji fedha na uhujumu Uchumi yanasikitisha sana!!
Huenda akikusoma taratibu atakuelewa vyema. Sitashangaa kama bado hatakuelewa.Tofauti yetu kila wakati ni wewe kutanguliza mahaba mbele kuliko ukweli. Mie namjua sana na hata issue ya Push Mobile. Hakuwa msafi kama weye unavyopenda kila wakati watu wahusudu na kusujudu. Kila makala zako ni za hivyo hivyo. Badilika uwe NEUTRAL ndiyo uandishi wa kuangalia pande mbili za shillingi