Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
Vladimir Vladimirovich Putin (kwa Kirusi Владимир Владимирович Путин; amezaliwa 7 Oktoba 1952) ni mwanasiasa nchini Urusi. Mara tatu alichaguliwa kuwa Rais wa Shirikisho la Urusi, mara ya mwisho tarehe 7 Mei 2012; awamu za kwanza zilikuwa kutoka 2000 hadi 2008. Kuanzia Agosti 1999 hadi Mei 2000, tena kuanzia 2008 hadi 2012 alikuwa waziri mkuu wa Urusi.
Alikaimu kiti cha Urais tarehe 31 Desemba 1999, pale rais Boris Yeltsin alipojiuzulu kwa ghafla. Kisha Putin akashinda uchaguzi wa rais mnamo mwaka wa 2000. Mnamo mwaka wa 2004, alichaguliwa upya na kushinda, hivyo aliendelea na kipindi chake cha pili hadi tarehe 7 Mei 2008.
Putin ni Mrusi wa Kanisa la Kiorthodoksi; mama yake alikuwa Mkristo wa kujitolea aliyekuwa akihudhuria katika kanisa wakati baba yake hakuamini Mungu. Mama yake hakuweka usaidizi wowote nyumbani lakini alihudhuria kanisani mara kwa mara japokuwa serikali ilinyanyasa dini yake kwa wakati huo. Mama yake alimbatiza kwa siri akiwa mdogo na mara kwa mara alimpeleka kuabudu.
Katika michezo Putin ameonekana mara kwa mara akiendeleza tasnia ya michezo kama vile kuendesha baiskeli, kutereza kwa ski, badminton.
Pia soma
www.jamiiforums.com

Vladimir Putin: Niliendesha magari na teksi ili kujikimu kimaisha miaka ya 1990
Rais wa Urusi Vladimir Putin amezungumzia majuto yake kuhusu kuanguka kwa Umoja wa Kisovieti mwaka 1991, akifichua kwamba alilazimika kufanya kazi ya udereva wa teksi ili kujiongezea kipato. Matatizo ya kiuchumi yaliyosababishwa na kuanguka kwa muungano huo yaliwalazimisha Warusi wengi kutafuta...