Mfalme Charles III kusimikwa rasmi leo Mei 6, 2023

Mfalme Charles III kusimikwa rasmi leo Mei 6, 2023

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
1683358668103.png

Ikiwa ni takriban siku 240 tangu kutokea Kifo cha #QueenElizabethII wa Uingereza, hatimaye leo Mei 6, 2023, Mtoto wake wa kwanza, Charles III ataidhinishwa rasmi kuwa Mfalme ikiwa ni miaka 69 na miezi 11 baada ya Utawala wa Malkia kumalizika.

KingCharlesIII mwenye miaka 74 atasimikwa rasmi ifikapo saa 7:00 Mchana akiingia katika Utawala huku kukiwa na Mgogoro wa Kifamilia, na baadhi Mataifa yaliyopo chini ya Himaya yake yakionesha wazi kutotaka kutawaliwa na Enzi za Kifalme.

Sherehe hizo zinatarajiwa kuhudhuriwa na Wageni zaidi ya 10,000 kati yao 5,000 watakuwa Askari wa Usalama, 2,000 Wageni Waalikwa wakiwemo Viongozi wa Mataifa 90 na Wafalme 2 waliothibitisha kuwepo.

Gharama za tukio hilo zinakadiriwa kufikia Tsh. Bilioni 294.3 ambazo inaelezwa kuwa zitagharamiwa na Serikali.

===============

On a soggy London day in June 1953, a bright-eyed 27-year-old married mother named Elizabeth was coronated as queen of England. Her coronation launched a seven-decade reign that would see radical transformations to her family, kingdom and the world.

On Saturday, nearly 70 years later, a gray-haired 74-year-old grandfather named Charles, Elizabeth's oldest son, will be crowned King Charles III, a leadership post sure to be challenged by a fractured family, a skeptical kingdom and a tense world.

In historical substance, these two coronations echo each other – from the pomp of the public procession to the solemnity of the tradition-steeped church ceremony. But in many ways, these seemingly similar events from two disparate centuries could not be more different.

How to watch:King Charles III's coronation without going to Westminster Abbey

10 things to know:UK's new monarch King Charles III ahead of his coronation

"This is a coronation like no other," says Christopher Andersen, author of "The King: The Life of Charles III." "The really big, historically unprecedented differences this time around revolve around the two people being crowned and their extraordinary journey to this moment."

Where Elizabeth II represented youthful hope after the tumult of World War II, King Charles III is being crowned as war rages in Ukraine and political and financial tensions ramp up across Europe and the globe.

Where Elizabeth became ruler of a largely enthralled and still sprawling empire, Charles inherits skeptical subjects hailing from a diminishing commonwealth of nations that increasingly question the very need for a monarchy.

US TODAY
 
Simba Watatu Anakwenda Kukalia Kiti Rasmi,
 
Back
Top Bottom