Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Alifanya sherehe, aligharamia chakula na kununua zawadi. Wajakazi wake wote walipata zawadi. Mama aliyeleta mpira wenye marashi alipewa £488 na aliyeimba shairi alipewa £2,400.
Pesa aliyotumia kwa Christmas ya mwaka huo ilikua sawa na makusanyo ya kodi ya mwaka mzima.
Huwezi kuwalaumu wananchi kudai utawala wa ki demokrasia na Mfalme kupunguziwa madaraka.