Mfalme Moulay wa Morocco ndiye binadamu aliyewahi kuwa na watoto wengi zaidi hapa duniani

Mfalme Moulay wa Morocco ndiye binadamu aliyewahi kuwa na watoto wengi zaidi hapa duniani

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Moulay Ismail Ibn Sharif ndiye mtu mwenye watoto wengi kuliko wote Duniani. Alikuwa ni mfalme wa Morocco kuanzia miaka ya 1672 hadi 1727.

Alikuwa na watoto waliosajiliwa 867 kati ya hao watoto wa kiume walikuwa 525 na wa kike 342 Lakini ukijumlisha na watoto ambao hawakusajiliwa ni 1042 lakidi baada ya kufariki idadi ya watoto wake iliongezeka idadi na kufika watoto 1171.

Mfalme huyo alikuwa na wanawake 500. Alitawala kwa miaka 55 ambao ni muda mrefu zaidi kwa historia ya Sultan wa Morocco

1568253535510.jpeg
 
Bado hajavunja rekodi ya mfalme Suleiman... Labda kwa watoto... Ila ukisikia wazee wa toboa tobo ndio hawa...
Mkuu kama unakua unapiga wale ambao wapo kwe siku za mimba tu hata wewe unaeza. Toka tumebalekhe mpk Leo tumepiga mabao mangapi
 
Shida ni kwamba sisi hatujatia mhuri wa ndoa... Ila kama ni rekodi ya kuchomeka naweza kumuacha parefu sana[emoji23][emoji23][emoji23]..... Naamini hata wewe pia
[emoji23][emoji23][emoji23] mshana wewe Kuna uwezekano ushachomeka Mara 10,000
Hapo sijajumlishia zile za bafuni
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mshana wewe Kuna uwezekano ushachomeka Mara 10,000
Hapo sijajumlishia zile za bafuni
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji115][emoji115][emoji115][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Shida ni kwamba sisi hatujatia mhuri wa ndoa... Ila kama ni rekodi ya kuchomeka naweza kumuacha parefu sana[emoji23][emoji23][emoji23]..... Naamini hata wewe pia
Mkuu unataka kuniaminisha kuwa ushatoboa tundu zaidi ya 50 [emoji23][emoji23][emoji23]...
 
naona kazi yake ilikuwa kupiga dudu la yuyu tu
Moulay Ismail Ibn sharif ndie mtu mwenye watoto wengi kuliko wote Duniani....Alikuwa ni mfalme wa Morocco kuanzia miaka ya 1672 hadi 1727....Alikuwa na watoto waliosajiliwa 867 kati ya hao watoto wa kiume walikuwa 525 na wa kike 342...Lakini ukijumlisha na watoto ambao hawakusajiliwa ni 1042 lakidi baada ya kufariki idadi ya watoto wake iliongezeka idadi na kufika watoto 1171...Mfalme huyo alikuwa na wanawake 500... Alitawala kwa miaka 55 ambao ni muda mrefu zaidi kwa historia ya Sultan wa Morocco

View attachment 1204987
 
wanawake 500 hata kama kila siku analala na mmoja mwaka hautoshi so ilibidi alale na wawili kila siku n siku nyingine mmoja mmoja.
Moulay Ismail Ibn sharif ndie mtu mwenye watoto wengi kuliko wote Duniani....Alikuwa ni mfalme wa Morocco kuanzia miaka ya 1672 hadi 1727....Alikuwa na watoto waliosajiliwa 867 kati ya hao watoto wa kiume walikuwa 525 na wa kike 342...Lakini ukijumlisha na watoto ambao hawakusajiliwa ni 1042 lakidi baada ya kufariki idadi ya watoto wake iliongezeka idadi na kufika watoto 1171...Mfalme huyo alikuwa na wanawake 500... Alitawala kwa miaka 55 ambao ni muda mrefu zaidi kwa historia ya Sultan wa Morocco

View attachment 1204987
 
Bado hajavunja rekodi ya mfalme Suleiman... Labda kwa watoto... Ila ukisikia wazee wa toboa tobo ndio hawa...
atakuwa ana experience na mbunye kiasi cha kujua utamu wake kwa macho tu. atakuwa amevunja bikra za kutosha na aina nyingi za mbunye anazijua, kongole kwake
 
2000+ [emoji144][emoji144][emoji119][emoji848][emoji144][emoji144]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Umetisha sana bro, mi pamoja na uzee wangu wote hata matano sijafikisha.. Na wangekuwa wanaeleweka ningetulia na moja tu..

For better for worse. ... [emoji4]
 
Mtu mmoja kati ya watu mia mbili duniani ni uzao wa bwana Ganges.Mcheki huyu mkubwa ambae miaka ya zamani alitawala eneo ambalo Kwa ukubwa waweza linganisha na bara lote LA Afrika
[emoji106]
 
Alisaidiwa huyoo na walinzi wake, Muarabu hana huo mshipa, angekuwa Mwafrica mweusi mla ugali wa mawele na kurumagia hapo sawa!
 
Back
Top Bottom