Mfalme Ogu wa Bashani: Mnefili pekee aliyepona kwenye Gharika la Nuhu

Aisee mkuu hivi uhakika wa kiasi hiko kama vile ulikuwepo huwa mnautoa wapi?

Btw ; maraika wahasi - Malaika waasi ,msariti wa mbingunu - Msaliti wa mbinguni
Tumia L usitumie R
 
Aisee mkuu hivi uhakika wa kiasi hiko kama vile ulikuwepo huwa mnautoa wapi?

Btw ; maraika wahasi - Malaika waasi ,msariti wa mbingunu - Msaliti wa mbinguni
Tumia L usitumie R
Biblia pekee haielezei yote kama ni mkristo soma na lesoni zinaelezea kiundani
 
Huh! me nmekuelewesha tu kidg labda aje Ushindi victory alieele6zea ila navyojua mm ni kupitia tu vitabu vingi,kuviringanisha alaf kuamin tu kwa sababu hamna aliekuwepo enzi hzo mafundisho tu ndo yanatusaidia
Yani mimi nataka kujua nini kinamfanya aamini maelezo yake kiasi hicho,kanakwamba alikuwepo katika siku hizo???
Maana kumpinga mtu thabiti kabisa kwa vitabu vya mapokeo kama alivyoyapokea yeye inatia ukakasi [emoji849]
 
Waswahili tunasemaga Amin unapoamin. Binafsi hata mm najiuliza kwa aliyoyasema ni kwl au si kwl lakn cna uwezo wa kumpinga kwa sababu sijuh kama ni kwl au laa hvy nabak dilemma
 
Waswahili tunasemaga Amin unapoamin. Binafsi hata mm najiuliza kwa aliyoyasema ni kwl au si kwl lakn cna uwezo wa kumpinga kwa sababu sijuh kama ni kwl au laa hvy nabak dilemma
na ndio maana mleta mada ameongea kitu kinachomaanisha inawezekana; kwa maana hio hana uhakika kwa sababu hakuwepo..
Chochote za zamani ambacho hukuwepo huwezi kuleta hoja za hakika, yani hata ikiwa 90% lazima useme imasemekana/inawezekana maana huwezi kuwa na uhakika wa moja kwa moja...
Na huwezi kumkosoa mtu yoyote kwa uhakika kama aliouonyesha mkuu hapo...
 
Ogu nimecheki mtandaoni hicho kitabu chake nimekuta wanakiuza. Th lost book. Naamini pia watakua wamekichakachua.
 
Swali muhimu ni , je, mama yake alikuwa mtu wa namna gani.
 
zitto junior kwanza hongera kwa utafiti uliofanya,umefukua sehemu nyingi sana. Ila nakataa hoja yako.

1. Wanefili walikua nusu malaika nusu binadamu na hakuna alieponyoka gharika. Wengine walijivua miili ya kibinadamu na kurudi mbinguni na wengine waliangamizwa.

2. Baada ya gharika dunia ilikuwa na wanadamu 8 tu. Unaweza kupitia tena Mwanzo sura 6 na ya 7 inatosha kabisa kukupa jibu.

3. Mfalme Ogu alikuwa Mrefaimu (kabila)kuna tofauti na wanefili na warefaimu. Warefaimu walikuwa warefu kiasili hata Goliathi alikuwa na asili hiyo.

Natamani sana kujadiliana mengi na wewe, inaonekana unaijua biblia kwa kiasi niPM kama vip
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…